Nitaendelea kushirikiana na Zitto Kabwe pamoja na Lissu kuichoma Serikali ya Tanzania

Nitaendelea kushirikiana na Zitto Kabwe pamoja na Lissu kuichoma Serikali ya Tanzania

Dawa ya muhani ni kitanzi au risasi. Unapokula kiapo hutakiwi kwa vyovyote vile kuvujisha siri za offisi.

You did wrong! fikiria mtu unamuamini alafu huku anakuhujumu utafanyaje.

Serikali iachwe na mipango yake na maendeleo yake na wanaoipinga wafuta njia zao. sio kwa mpumbavu wewe kujitapa kwamba unavujisha siri. shame.

Serikali iwe huru na wapinzani wawe huru na sio kuhujumiana.
Tutaelewana tu!
 
Naunga hoja.
Zito yupo sahihi, MaCCM yamekosa utu ni mashetani, yanabaka watoto wetu yakiwapa mimba yanawafukuza shule.

CHAMA CHA MASHETANI= CCM
Watoto wa kike hawabakwi Wanaenda wenyewe Kwa Viherehre vyao. Serikali ilikusudia kuwapa adhabu ya kutorudi Shule ili Waache au kujiepusha na matendo ya Ngono Zembe. Kama bado wapo wanaoendeleza Ngono badala ya Shule naunga Mkono maamuzi ya Serikali.
 
Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na Serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.

Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.

Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.

Tutaendelea kutoa informations muhimu!
Tuwekee hapa basi hayo mambo.
 
Zito Hana anachoweza kuzuia mkopo toka taasisi yeyeto duniani.Kuamini hivo ni kumsingizia wao ufanya tafiti kabla ya kujidhihirisha,hakuna yeyeto asiyejua kwamba tunatawaliwa na madhalimu yanayokandamiza haki za wengi.Wao wamechunguza wamethibitisha ya kwamba Pesa zao haziendi tumika kwenye malengo kusudio elimu ni kama chambo tu kupitishia.
 
We
We nae Domo Kama K
Umetumia lugja ndogo sana kwa mtu mwenye uzoefu kama mimi katika masuala ya kisiasa,huwa najifikiria kila siku kuhusu tusi jipya ambalo sikuambiwa,mwisho najikuta matusi yote ni yale nilitukanwa miaka ishirini ilopita,bwana mdogo unaonaje kama ukinitusi tusi jipya angalau hata moyo ucheze cheze.
 
None is on the ball... Unakisia tu... You also know little concerning the issue...Tukubali tu hatutafikia muafaka....And let Elvis leave the building... It's all over.
We shall see.... If you don't comply eventually you're automatically disqualified... Kama unavyoomba mkopo bank/taasisi yoyote ile usipofit kwenye eligibility criteria zao hupewi huo mkopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We shall see.... If you don't comply eventually you're automatically disqualified... Kama unavyoomba mkopo bank/taasisi yoyote ile usipofit kwenye eligibility criteria zao hupewi huo mkopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo hivyo...wacha wachunguze wajiridhishe wenyewe... Hata WB wanajua ninyi ni wapinzani na wanajua tabia za wapinzani.... Ninyi ni kama mmewapa alert lakini si kwamba watasikiliza porojo zenu....watachunguza kila kitu.
 
Mkapa alishawavua nguo ccm pale aliposema pesa za kashfa ya EPA zilitumika kugharamia kampeni za ccm sema ccm cku hizi vipofu hawasikii wala kuona,,,,,,Nina uhakika mkataba wa Kangi lugola ni mapicha picha yaliyolenga kutakatisha pesa ili ziende kufadhiri kampeni za chama chakavu
 
Ndiyo hivyo...wacha wachunguze wajiridhishe wenyewe... Hata WB wanajua ninyi ni wapinzani na wanajua tabia za wapinzani.... Ninyi ni kama mmewapa alert lakini si kwamba watasikiliza porojo zenu....watachunguza kila kitu.
Kama ilijulikana hivyo kusingekuwa na haja kuhold off... Serikali imefail kucomply so no excuses

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom