Nitaendelea kushirikiana na Zitto Kabwe pamoja na Lissu kuichoma Serikali ya Tanzania

Nitaendelea kushirikiana na Zitto Kabwe pamoja na Lissu kuichoma Serikali ya Tanzania

I
Watoto wa kike hawabakwi Wanaenda wenyewe Kwa Viherehre vyao. Serikali ilikusudia kuwapa adhabu ya kutorudi Shule ili Waache au kujiepusha na matendo ya Ngono Zembe. Kama bado wapo wanaoendeleza Ngono badala ya Shule naunga Mkono maamuzi ya Serikali.
Ishu ya mimba haina factor moja wapo wanaobakwa,rubuniwa sababu ya usafiri,nk
 
Lakin wao wanatujua zaidi kuliko tunavyodhani awatujui
Ndiyo hivyo...wacha wachunguze wajiridhishe wenyewe... Hata WB wanajua ninyi ni wapinzani na wanajua tabia za wapinzani.... Ninyi ni kama mmewapa alert lakini si kwamba watasikiliza porojo zenu....watachunguza kila kitu.
 
Niseme tu dunia bila hawa watu weupe hawa wakoloni weusi wangekuwa wakituchinja usiku na Mchana maana furaha yao ni kutuona tukiteseka usiku na mchana.
 
Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na Serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.

Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.

Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.

Tutaendelea kutoa informations muhimu!
Tokea kwenye camera kbs mkuu, tukuone maana kina zitto wanafahamika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom