Nitaendelea kushirikiana na Zitto Kabwe pamoja na Lissu kuichoma Serikali ya Tanzania

Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.

Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.

Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.

Tutaendelea kutoa informations muhimu!
Mungu akulinde sana
 
Kuna watuwtashangilia kama mazuzu hiyo hela ikiachiwa. Ndio laana yetu hiyo.
 
Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.

Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.

Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.

Tutaendelea kutoa informations muhimu!
Kwa taarifa yako, Pesa imeshaingizwa BOT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamesha kubana p tayari

Ninaunga mkono harakati zote zinazoanzishwa na Zitto kabwe na TL kwa maslahi ya taifa.
 
Upinzani wa Tanzania ni changamoto sana...yaani mtu anachochea nchi inyimwe mkopo bila kutafakari madhara watakayopata watoto wetu kwenye sekta ya elimu.
Mnapochochea mauwaji dhidi ya wengine siyo changamoto! Mbulula nyie mtaisoma namba.
 
Kama ni mkakati unaokwenda kwa hao watu wawili kuwa pamoja,msijidanganye,mmeanza kufeli,halafu hili tatizo la kimkakati sijui litaisha lini katika nchi hii,ndio maana CCM inawachezea kila kukicha.
Mzee mnafeli tena,hivi huwa hamnaga timu ya washauri.
Mkuu Weledi benki watatoa lini mkopo kwa ccm?
 
Mbona mzungu wa ndege kaweza? Hizo lugha kwamba huwezi kushindana na serikali ni lugha wanazoambiwa wachovu ili kuwafanya wawe makondoo.
Yule mkulima Styrn aliwanyosha mpaka wakakomba kilichobaki hazina kwenda kumlipa usiku kwa usiku kizani
 
Mpaka sasa hivi kuna information gani muhimu umezitoa? Za mkopo wa World Bank?

Wenzenu wapo field kuhakikisha mnapigwa kwenye uchaguzi mkuu nyie mmekomaa na information ambazo matokeo yake wote manajua kuwa ni zero?,!

Sent using Jamii Forums mobile app
BILA TUME HURU YA UCHAGUZI HATA TUFANYEJE MASHETANI ,MA MBWA NA IBILISI MA CCM YATA SHINDA. HOJA YAKO HAINA MASHIKO
 
We
Kama ni mkakati unaokwenda kwa hao watu wawili kuwa pamoja,msijidanganye,mmeanza kufeli,halafu hili tatizo la kimkakati sijui litaisha lini katika nchi hii,ndio maana CCM inawachezea kila kukicha.
Mzee mnafeli tena,hivi huwa hamnaga timu ya washauri.
We nae Domo Kama K
 
Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.

Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.

Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.

Tutaendelea kutoa informations muhimu!
Huna lolote shwain, unastress tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BILA TUME HURU YA UCHAGUZI HATA TUFANYEJE MASHETANI ,MA MBWA NA IBILISI YA CCM YATA SHINDA. HOJA YAKO HAINA MASHIKO

Mkuu sio watashinda bali watatangazwa washindi. Kuna tofauti kubwa kati ya kushinda na kutangazwa mshindi. Kushinda ni iwapo unashindana, lakini kama hushindani unatangazwa mshindi.
 
Back
Top Bottom