G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
- Thread starter
- #61
Tutaelewana tu!Dawa ya muhani ni kitanzi au risasi. Unapokula kiapo hutakiwi kwa vyovyote vile kuvujisha siri za offisi.
You did wrong! fikiria mtu unamuamini alafu huku anakuhujumu utafanyaje.
Serikali iachwe na mipango yake na maendeleo yake na wanaoipinga wafuta njia zao. sio kwa mpumbavu wewe kujitapa kwamba unavujisha siri. shame.
Serikali iwe huru na wapinzani wawe huru na sio kuhujumiana.