Naunga mkono.Ushirikiano usiishie huku kwenye Id fake, kesho fanya press conference uweke wazi nia yako, hlf baada ya dk 5 tuanze #freeG Sam#
Ushirikiano usiishie huku kwenye Id fake, kesho fanya press conference uweke wazi nia yako, hlf baada ya dk 5 tuanze #freeG Sam#
Naskia hela imeisha ingia BOT...nami naunga mkono hoja kama ni anayoyasema zitto ni kweli, basi na huo mkopo ni bora uote mbawa!
hamna kitu kama hicho, wapenda sifa hawa wasingechelewa kuanza kujisifu!
Mpaka sasa hivi kuna information gani muhimu umezitoa? Za mkopo wa World Bank?
Wenzenu wapo field kuhakikisha mnapigwa kwenye uchaguzi mkuu nyie mmekomaa na information ambazo matokeo yake wote manajua kuwa ni zero?,!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri hakuna awezaye kushindana na serikali
Kaweza kafikia wapiMbona mzungu wa ndege kaweza? Hizo lugha kwamba huwezi kushindana na serikali ni lugha wanazoambiwa wachovu ili kuwafanya wawe makondoo.
Kaweza kafikia wapi
Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.
Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.
Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.
Tutaendelea kutoa informations muhimu!
TuthibitishieKalipwa chake baada ya kukamata ndege zetu.