Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mungu akulinde sanaMimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.
Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.
Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.
Tutaendelea kutoa informations muhimu!
Fanya kwanza hicho ndipo nifanye cha kwako
Naunga hoja.
Zito yupo sahihi, MaCCM yamekosa utu ni mashetani, yanabaka watoto wetu yakiwapa mimba yanawafukuza shule.
CHAMA CHA MASHETANI= CCM
Tuthibitishie
Kwa taarifa yako, Pesa imeshaingizwa BOT.Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.
Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.
Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.
Tutaendelea kutoa informations muhimu!
Wamesha kubana p tayariMimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.
Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.
Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.
Tutaendelea kutoa informations muhimu!
Je kama kakosa pa kuikamatia au alishindwa kesi unajuaje?Uthibitisho hajakamata ndege yetu tena.
Ninaunga mkono harakati zote zinazoanzishwa na Zitto kabwe na TL kwa maslahi ya taifa.Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.
Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.
Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.
Tutaendelea kutoa informations muhimu!
Mnapochochea mauwaji dhidi ya wengine siyo changamoto! Mbulula nyie mtaisoma namba.Upinzani wa Tanzania ni changamoto sana...yaani mtu anachochea nchi inyimwe mkopo bila kutafakari madhara watakayopata watoto wetu kwenye sekta ya elimu.
Mkuu Weledi benki watatoa lini mkopo kwa ccm?Kama ni mkakati unaokwenda kwa hao watu wawili kuwa pamoja,msijidanganye,mmeanza kufeli,halafu hili tatizo la kimkakati sijui litaisha lini katika nchi hii,ndio maana CCM inawachezea kila kukicha.
Mzee mnafeli tena,hivi huwa hamnaga timu ya washauri.
Yule mkulima Styrn aliwanyosha mpaka wakakomba kilichobaki hazina kwenda kumlipa usiku kwa usiku kizaniMbona mzungu wa ndege kaweza? Hizo lugha kwamba huwezi kushindana na serikali ni lugha wanazoambiwa wachovu ili kuwafanya wawe makondoo.
Na hiyo ndo failure kubwa ya Magufuli ilipo lala.Ushirikiano usiishie huku kwenye Id fake, kesho fanya press conference uweke wazi nia yako, hlf baada ya dk 5 tuanze #freeG Sam#
BILA TUME HURU YA UCHAGUZI HATA TUFANYEJE MASHETANI ,MA MBWA NA IBILISI MA CCM YATA SHINDA. HOJA YAKO HAINA MASHIKOMpaka sasa hivi kuna information gani muhimu umezitoa? Za mkopo wa World Bank?
Wenzenu wapo field kuhakikisha mnapigwa kwenye uchaguzi mkuu nyie mmekomaa na information ambazo matokeo yake wote manajua kuwa ni zero?,!
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae Domo Kama KKama ni mkakati unaokwenda kwa hao watu wawili kuwa pamoja,msijidanganye,mmeanza kufeli,halafu hili tatizo la kimkakati sijui litaisha lini katika nchi hii,ndio maana CCM inawachezea kila kukicha.
Mzee mnafeli tena,hivi huwa hamnaga timu ya washauri.
Huna lolote shwain, unastress tu.Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.
Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.
Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.
Tutaendelea kutoa informations muhimu!
Je kama kakosa pa kuikamatia au alishindwa kesi unajuaje?
BILA TUME HURU YA UCHAGUZI HATA TUFANYEJE MASHETANI ,MA MBWA NA IBILISI YA CCM YATA SHINDA. HOJA YAKO HAINA MASHIKO