🤣🤣Kwa nn mteja ashindwe kulupa mkopo wakati unampa mkopo ulizingatie zile 5C's of credit au ulitoa hela kwa sababu ulipata posho kutoka kwa mteja ukagawa hela za watu kama njugu?
Hapo ndo inakuwa balaaa na hata kudamdai uwez ulishakula hela yake kitambo.Kwa nn mteja ashindwe kulipa mkopo wakati unampa mkopo ulizingatie zile 5C's of credit au ulitoa hela kwa sababu ulipata posho kutoka kwa mteja ukagawa hela za watu kama njugu?
Hili usemalo lipo na mteja kupata tatizo la ghafla au nje ya uwezo wake kisha kushindwa marejesho kupo.Kwa nn mteja ashindwe kulipa mkopo wakati unampa mkopo ulizingatie zile 5C's of credit au ulitoa hela kwa sababu ulipata posho kutoka kwa mteja ukagawa hela za watu kama njugu?