Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Leo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa.
Huo muda mchafu sina
Huo muda mchafu sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sisi waugwana na watu wastaarabu huwa tunachukia sana mazingaobwe haya.Leo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa.
Huo muda mchafu sina
Sure,ni kuhadaa watu tu lakn kiuhalisia matokeo tayari wanayo,siwezi kupoteza mda wangu.
Aisee hizo ngonjera ni special for kidsJitahidi ukapige kura mkuu
Kura yako moja tuuh inatosha kubadili kila kitu.
Kwahiyo mkuu tunafanyaje?Aisee hizo ngonjera ni special for kids
Kwa Katiba hii tuliyonayo hilo haliwezekani!Jitahidi ukapige kura mkuu
Kura yako moja tuuh inatosha kubadili kila kitu.
Ilo unaona ndio suluhisho kijanaLeo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa.
Huo muda mchafu sina
YesIlo unaona ndio suluhisho kijana
Lini sasa mkuu na wao hawataki kibadili!?Kwa Katiba hii tuliyonayo hilo haliwezekani!
Nitashiriki kupiga kura mara tu pale katiba mpya ya wananchi itakapopatikana.
Usipopiga, sisi tutapiga na mshindi atatangazwa!Sure,ni kuhadaa watu tu lakn kiuhalisia matokeo tayari wanayo,siwezi kupoteza mda wangu.
Sarakasi tu huko wanapigaLeo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa.
Huo muda mchafu sina
Poa tu tawaleniUsipopiga, sisi tutapiga na mshindi atatangazwa!