raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
🍻Basi nimeacha 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🍻Basi nimeacha 🤣
Niko hapa nakiwasha umejuaje?? 😀
Pande zipi hizo 😊Niko hapa nakiwasha umejuaje?? 😀
😅 Unataka kunijoin? Nyie ma legendary hamna cha dada tatizo.!!Pande zipi hizo 😊
Hahahaaaaaaaaaaaa 😆 acha habari zako wewe😅 Unataka kunijoin? Nyie ma legendary hamna cha dada tatizo.!!
Hamjui kupotezea nyie 😂Hahahaaaaaaaaaaaa 😆 acha habari zako wewe
Kwahio sasa 😊Hamjui kupotezea nyie 😂
Mnapita shwaaah ✈️
Sasa mida na wapi🤔Code nyepesi hiyo jamaa kaomba wakutane akaoshe rungu
Aliyeomba ndio MEMkuu hivi unadhani wa kushoto ndo ME au KE
Ma bro hamna udada nyie 😂Kwahio sasa 😊
Haya bhana totoo 😊Ma bro hamna udada nyie 😂
Niko mbali ningekwambia uje raraa
😁😁😁😁😁nikajua hata code za alien kumbe mambo yenu yakutusuana vizazi...
Unataka nini😁😁😁Soda kunywa wewe upunguze presha mkuu
MbegeUnataka nini😁😁😁
Kitakuja chenyewe na wewe ndo utakatumia nauli, famasiala na nyege weyee..!!Hakina adabu na siendi sasa
Wengine wameisha sioKitakuja chenyewe na wewe ndo utakatumia nauli, famasiala na nyege weyee..!!
Mpya kumpata kuna kazi ukilinganisha na wa zamani..!! Ukizingatia kupasha kiporo hakuhitaji moto mwingi kama kupika upya..!!Wengine wameisha sio
nipashe kipolo na nnajua utamu wa chakula kipyaaaa uuuuweeeeh never na sijawahiMpya kumpata kuna kazi ukilinganisha na wa zamani..!! Ukizingatia kupasha kiporo hakuhitaji moto mwingi kama kupika upya..!!