goodfool
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 1,668
- 994
Salam,
Kuna app locker (kificha faragha) naweza kuita hivyo, kimenihadaa na kuniaminisha kuwa naweza kuficha SMS na Chats lakini kimeniumbua na kusababisha mtafaruku ndani ya nyumba baada ya wife kubaini chat (mazungumzo) baina yangu na mipango kando yangu.
App hiyo inayotumia finger prints kuna mda inajisahau na kushindwa kifanya kazi yake.
Kila kitu kinakuwa wazi,
Hata ile secure SMS ilishashindwa kaziya kudhibiti udukuzi huo.
Wife kanibamba kila kitu nikabaki mudomo wazi!! Dadek!
Kama nkisoma vizuri terms& conditions za app hiyo naweza kuishitaki na kujichotea mamilioni.
Can't rate even a half star to that shit!!
Nimeamini simu za Button ndio hazikoseagi kabisa kuhusu privacy lock.
Hapa siku ya 3 sasa napambana na kesi za nyumbani. Mzigo sipewi Hata kula hatuli pamoja nimepewa Ban'
Wadau ni IPI app lock nzuri isiofanya makosa.
Asantr.
Sent using Jamii Forums mobile app