platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Hahahaaa..cc espyJinga sana wewe........kwanza haitakiwi kuweka lock za ajabu ajabu kwenye simu yako hiyo itamfanya akustukie, weka patten za kawaida tu tena nyepesi kabisa kuzitumia na yeye mfundishe azijue, lakini kikubwa usipende kuacha sms kwenye simu yako bwege wewe, unaporudi nyumbani hakikisha umefuta kila kitu na mipango yako yote ya kando ijue kwamba sasa unaingia home........kama kuna uliyemdanganya kuwa huna wife basi mwambie kwamba unaingia kwenye kikao cha kazini asipige wala kutuma sms........mnapokamatwa na vidhibiti kama hivi mnatutia aibu sisi ma legendary wa hizo tasnia koroma wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app