Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu

Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu

Huwezi kumpenda mke wa ndoa ukawa na kimada nje. Labda wote hao ni nje ya ndoa.

Haiji.

Mimi hii kitu nitakataa miaka 100.. tena uzoefu wangu unaonyesha ukiwa na kimada nje ndio mapenzi kwa mke yanaongezeka maradufu.. Ukiona mtu kalowea kwa kimada ujue hakumpenda mkewe hata kabla..
 
Mimi hii kitu nitakataa miaka 100.. tena uzoefu wangu unaonyesha ukiwa na kimada nje ndio mapenzi kwa mke yanaongezeka maradufu.. Ukiona mtu kalowea kwa kimada ujue hakumpenda mkewe hata kabla..
Si muwache yanini uendelee kuishi nae na haumpendi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] iPhone ina Linda vp privacy? Maana wife unampa cm aangalie, ila SMS au WhatsApp text inaingia inajionyesha kwe notification bar, wakat ulilock ndo shida

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu yaani hamna kitu inatesa kama umempa wife simu labda anaangalia picha za tukio fulani mliloshiriki halafu ghafla unasikia msg zinaingia.. unatamani umrukie uchukue simu lakini wapi. Ila mara nyingi Mungu huwa anasaidia unakuta wala msg zenyewe sio zile mbaya..😀😀
 
Jinga sana wewe........kwanza haitakiwi kuweka lock za ajabu ajabu kwenye simu yako hiyo itamfanya akustukie, weka patten za kawaida tu tena nyepesi kabisa kuzitumia na yeye mfundishe azijue, lakini kikubwa usipende kuacha sms kwenye simu yako bwege wewe, unaporudi nyumbani hakikisha umefuta kila kitu na mipango yako yote ya kando ijue kwamba sasa unaingia home........kama kuna uliyemdanganya kuwa huna wife basi mwambie kwamba unaingia kwenye kikao cha kazini asipige wala kutuma sms........mnapokamatwa na vidhibiti kama hivi mnatutia aibu sisi ma legendary wa hizo tasnia koroma wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utoto mwingi ukikua utaacha. Kwanini umwogopi Mungu? Ivi ukumficha mkeo utaweza kumficha na Mungu?
Mrudie Muumba wako kabla siku mbaya hazijakufika.
Ujumbe umeupata usijesema hukusikia.
Salam,

Kuna app locker (kificha faragha) naweza kuita hivyo, kimenihadaa na kuniaminisha kuwa naweza kuficha SMS na Chats lakini kimeniumbua na kusababisha mtafaruku ndani ya nyumba baada ya wife kubaini chat (mazungumzo) baina yangu na mipango kando yangu.

App hiyo inayotumia finger prints kuna mda inajisahau na kushindwa kifanya kazi yake.

Kila kitu kinakuwa wazi,

Hata ile secure SMS ilishashindwa kaziya kudhibiti udukuzi huo.

Wife kanibamba kila kitu nikabaki mudomo wazi!! Dadek!

Kama nkisoma vizuri terms& conditions za app hiyo naweza kuishitaki na kujichotea mamilioni.

Can't rate even a half star to that shit!!

Nimeamini simu za Button ndio hazikoseagi kabisa kuhusu privacy lock.

Hapa siku ya 3 sasa napambana na kesi za nyumbani. Mzigo sipewi Hata kula hatuli pamoja nimepewa Ban'

Wadau ni IPI app lock nzuri isiofanya makosa.

Asantr.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom