Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu

Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu

Yani unampenda mtu then unatfa option ya pili it seems humpendi better choose the second option. Ina maana hakurizishi imagine na yeye afanye hivo
Mimi hii kitu nitakataa miaka 100.. tena uzoefu wangu unaonyesha ukiwa na kimada nje ndio mapenzi kwa mke yanaongezeka maradufu.. Ukiona mtu kalowea kwa kimada ujue hakumpenda mkewe hata kabla..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku unakuja kusikia, Mke amuua mumewe kwa kisukumio cha Chapati ndio haya. Umekamatwa una laghai ndoa yako, badala ya kuwa mpole bado unatafuta namna ya kuficha uzinzi wako. Nikukumbushe tu ndugu, mkeo ndie aliyebeba uhakika wa kuishi hapa duniani baada ya Muumba.
 
Jaribu kutumia Vault

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalizo ukichomeka simu kwenye computer kwa lengo la kuhamisha picha kama umeficha huko picha zako Lazima macho yakutoke siku moja nilikuwa nina hamisha picha kwenye simu na wife dah mara hilo 🙆🙆🙆!🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆!!!!
!dah dah dah dah nikasema yani Leo nina hama kweye ma group yote watu kutumiana picha za wana wake ata kama anafanya biashara ya kuuza hizo nguo kwanini asipige picha tu hivyo viatu na nguo peke yake!
Nikaongeza wanauza nguo na hivyo viatu
Sema sio vizuri 🙆🙆🙆🙆🙆🙆
!!
Chukuwa 20p pro ni kila kitu kina kuwa salama ata simu huna aja ya kuogopa mtu Kushika
Screenshot_20190107-200842.jpg
 
Angalizo ukichomeka simu kwenye computer kwa lengo la kuhamisha picha kama umeficha huko picha zako Lazima macho yakutoke siku moja nilikuwa nina hamisha picha kwenye simu na wife dah mara hilo [emoji134][emoji134][emoji134]![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]!!!!
!dah dah dah dah nikasema yani Leo nina hama kweye ma group yote watu kutumiana picha za wana wake ata kama anafanya biashara ya kuuza hizo nguo kwanini asipige picha tu hivyo viatu na nguo peke yake!
Nikaongeza wanauza nguo na hivyo viatu
Sema sio vizuri [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
!!
Chukuwa 20p pro ni kila kitu kina kuwa salama ata simu huna aja ya kuogopa mtu Kushika
View attachment 988811
Mzee hii ni Huawei P20 pro una maanisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam,

Kuna app locker (kificha faragha) naweza kuita hivyo, kimenihadaa na kuniaminisha kuwa naweza kuficha SMS na Chats lakini kimeniumbua na kusababisha mtafaruku ndani ya nyumba baada ya wife kubaini chat (mazungumzo) baina yangu na mipango kando yangu.

App hiyo inayotumia finger prints kuna mda inajisahau na kushindwa kifanya kazi yake.

Kila kitu kinakuwa wazi,

Hata ile secure SMS ilishashindwa kaziya kudhibiti udukuzi huo.

Wife kanibamba kila kitu nikabaki mudomo wazi!! Dadek!

Kama nkisoma vizuri terms& conditions za app hiyo naweza kuishitaki na kujichotea mamilioni.

Can't rate even a half star to that shit!!

Nimeamini simu za Button ndio hazikoseagi kabisa kuhusu privacy lock.

Hapa siku ya 3 sasa napambana na kesi za nyumbani. Mzigo sipewi Hata kula hatuli pamoja nimepewa Ban'

Wadau ni IPI app lock nzuri isiofanya makosa.

Asantr.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetumia hii

Vault
Screenshot_2019-01-07-20-25-13.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom