Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu

Niliyompa wapi walipeana wenyewe huko huko juu.
Aaah! Ni wewe tu. Unaona Adamu na Eva walitoa boko wakampa nguvu ( authority ). Shetani usimpo nguvu hana nguvu.. ukimpa nguvu za kupiga miti nje, basi utapiga tu
 
Aaah! Ni wewe tu. Unaona Adamu na Eva walitoa boko wakampa nguvu ( authority ). Shetani usimpo nguvu hana nguvu.. ukimpa nguvu za kupiga miti nje, basi utapiga tu
Usitusingizie bwana, alompa nguvu unamjua. Sie tunasingiziwa tu.
 
Nunua simu yenye native applocker kwenye settings zake huwa hazifail hata siku moja, hizi app zakudownload zinatakiwa ziwe zina run muda wote sasa kama simu yako ina ram ndogo au inaoptimize power automatic ikisimamisha background activities kwa kuiforce stop app kifuatacho ni app kusimama na usalama unakua haupo tena, usisahau Ukimwi upo na unaua.
 
Wewe acha siasa, sisi tunaangushiwa jumba bovu tu. Ila alompa nguvu unamjua.
Alie mpa nguvu na wewe kakupa nguvu.. kwaiyo shetani akikushawishi unipe tunda utanipea kwani ? Ndio utajua mwenye maamuzi ni wewe na sio shetani
 
Tatizo ni wewe kutokua mwaminifu kwa mwenza wako, tatizo sio app lock, kwani app lock ikikutuma kuchepuka? Kama haikukutuma basi wewe ndio chanzo cha mgogoro
 
Eti fingerprint lock 🤣🤣si ukilala anaweza kuchukua kidole chako tu afungue hio lock.
Siku za mwizi 40,zako zilishatimia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…