Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

Hiyo team yenu Morroco sitaki hata kuwasikia, bora wapakwa masizi wetu Ufaransa ni waafrika zaidi kuliko Morroco.
Binafsi Morocco siwapendi, lakini wapakwa masizi siwapendi zaidi.
 
Sasa tatizo ni kuwa mbappe bado ana miaka mingi sana ya kuhudhuria kwenye WC tofauti ya huyo mbuzi anayeenda kufikia tamati.

Ukisikia kuwa magoli yanamfata yeye ila yeye hayafuati basi ndo hiyo
Huwezi jua labda Mbappe atakufa kabla ya WC ya 2030.
 
Back
Top Bottom