The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 967
- 1,971
Nenda kavute ugoro huko kama unaamini Morocco anaitoa france
🤝nitakuelewaje mtu umeota.. worldcup ya 2022 nusu fainali walikutana na morocco akarudi nyumbani na ndo ivyo itavyokuwa leo
Bingwa ajaye wa WORLD CUP NI ENGLAND...!... HII NILIIONA KWENYE NDOTO!Bila shaka unamaanisha bingwa ajaye wa dunia Ufaransa?
Uwezo huo anaoNenda kavute ugoro huko kama unaamini Morocco anaitoa france
AiseBingwa ajaye wa WORLD CUP NI ENGLAND...!... HII NILIIONA KWENYE NDOTO!
Mark this tweet...nikiona kitu ndotoni, hutokea ktk hali halisi.
Kisa cha kuwachukia nini hao wazungu waliojipaka masiziwazungu waliojipaka masizi.
Nimesema wakitolewa nitafurahi 😎.Chuki zako zitaathiri vipi wao.kila nchi inapigania taifa lake.kamwe hakuna taifa litaipigania nchi yako.
Tuone.Ni suala la muda tu huyo MBUZI Wenu atachinjwa na kusahaulika. Mbape ana njia ndefu ya kwenda mbale,bado yupo sana, Yeye hii ndio wedikapi yake ya mwisho, kwisha habari yake.
Ok.hiyo timu ya wapaka masizi ndo mabingwa wa wc2026
Kwa sababu wamebadili rangi yao.Kisa cha kuwachukia nini hao wazungu waliojipaka masizi
Naona Mods wametoa neno 'masizi' katika title ya Uzi.Kila la kheri Maroc nipigie hao wazungu pori.