secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hii inayokwenda kuchuana na Morocco.Ndio ipi hiyo
Binafsi Morocco siwapendi, lakini wapakwa masizi siwapendi zaidi.Hiyo team yenu Morroco sitaki hata kuwasikia, bora wapakwa masizi wetu Ufaransa ni waafrika zaidi kuliko Morroco.
Huyo akitolewa yeyote achukue.Bila shaka unamaanisha bingwa ajaye wa dunia Ufaransa?
Bingwa ni Ufaransa, mfungaji bora ni kylian mbappe hao Morocco watapigwa haswa hiyo keshoHuyo akitolewa yeyote achukue.
Kwanini unawachukia? Kijana safi kama Kylian?Olise, Dembere, Samba,Konate,Dayot?Binafsi Morocco siwapendi, lakini wapakwa masizi siwapendi zaidi.
Mbappe anahatarisha mafanikio ya GOAT.Kwanini unawachukia? Kijana safi kama Kylian?Olise, Dembere, Samba,Konate,Dayot?
Nitaumia.Bingwa ni Ufaransa, mfungaji bora ni kylian mbappe hao Morocco watapigwa haswa hiyo kesho
Bila shaka wewe ni timu Fifa aka Timu ArgentinaNitaumia.
So kumbe tatizo kubwa liko hapaMbappe anahatarisha mafanikio ya GOAT.
Wala hujokosea.Bila shaka wewe ni timu Fifa aka Timu Argentina
Well said 😎.So kumbe tatizo kubwa liko hapa
Acha kuitaja hiyo timu leo tena, utanifanya nilie tena kunikumbusha machungu ya janaBila shaka wewe ni timu Fifa aka Timu Argentina
Sasa tatizo ni kuwa mbappe bado ana miaka mingi sana ya kuhudhuria kwenye WC tofauti ya huyo mbuzi anayeenda kufikia tamati.Well said 😎.
Samahani sana mkuu, ni kwa vile mtoa mada anaonekana kuwa na mahaba na hii ya timu ya mbeleko, sitaitaja tena maana hata mimi ile jana niliumia sana jinsi fifa inaharibu mpira kwa maslahi ya ArgentinaAcha kuitaja hiyo timu leo tena, utanifanya nilie tena kunikumbusha machungu ya jana
Timu ya Infantino, timu mbeleko, timu fifa, shida ni kwamba mkikutana na Ufaransa safari hii hata mbebwe vipi mtapigika haswa, chama langu ni UfaransaWala hujokosea.
Huwezi jua labda Mbappe atakufa kabla ya WC ya 2030.Sasa tatizo ni kuwa mbappe bado ana miaka mingi sana ya kuhudhuria kwenye WC tofauti ya huyo mbuzi anayeenda kufikia tamati.
Ukisikia kuwa magoli yanamfata yeye ila yeye hayafuati basi ndo hiyo