Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

we jamaa umepost hii kwa mapenzi yako ya ajentina ila timu yako mbovu imesumbuliwa na cape verde na misri 🤣🤣.. ila kitakwimu za mpira morocco ni little puppies kwa ufaransa Dembele,Olise na Mbappe wanaenda kuwarudisha nyumbani hao waarabu washamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…