Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mimi najiweza. Naweza ku accommodate mahitaji yangu yote muhimu pamoja na familia yangu. Sio mbinafsi kama wewe.Nyerere na ujamaa wake ulitufundisha sana kuoenda vya bure hakika sasa mkuu wew mtoto wako unataka serikali imlishe bure wew ukifanya nini ? Hebu beba majukumu lisha watoto wako kwa kutoa michango ya chakula shulen na si kutegemea serikali kuleta vya bure maana kwa tulipofikia hicho kitu ni almost impossible an
Nb.
Kodi zilizo ongezwa tayar wamesema watapo zipeleka
huko ni kuwalemaza watu. mpaka na sosi mashuleni serikali ikulishie watoto? i get it maybe ww unauwezo kama ulivyosema. but that is a bad ideaMimi najiweza. Naweza ku accommodate mahitaji yangu yote muhimu pamoja na familia yangu. Sio mbinafsi kama wewe.
Nikizungumza jambo simaanishi mimi na familia yangu ndio walengwa. Nazungumzia maisha ya Watanzania.
HAPANAhuko ni kuwalemaza watu. mpaka na sosi mashuleni serikali ikulishie watoto? i get it maybe ww unauwezo kama ulivyosema. but that is a bad idea
Kwani ilani ya chama inasemajeHabari zenu viongozi!
Ni dhahiri Tanzania inakwenda kuwa serikali tajiri. Serikali ambayo haitakuwa tegemezi kwa namna yoyote ile.
Kuna changamoto nyingi nchini katika sekta za afya, elimu, na uchumi.
Nikianzia sekta ya elimu , serikali itoe chakula cha mchana bure mashuleni. Huku msingi na sekondari ndiko wanakoandaliwa watumishi wa umma. Serikali ikizembea huku shule za msingi na sekondari itajikuta ina watumishi wenye uwezo mdogo na wasio wazalendo. Itavuna raia wenye ufahamu mdogo na wenye kukosa uzalendo.
Serikali iende mbali zaidi kwa kuondoa au kuwalipia ada wanafunzi wote wa vyuo vikuu.
Hizi kodi za uzalendo tunazokatwa kwa lazima zitatosha kufanya haya na mengine mengi.
Umesoma shule gani mkuu?? Labda umesoma mijini humu ambako changamoto ya elimu si kubwa sana.huko ni kuwalemaza watu. mpaka na sosi mashuleni serikali ikulishie watoto? i get it maybe ww unauwezo kama ulivyosema. but that is a bad idea
Ubinafsi na roho mbaya ya kiibilisi.Umesoma shule gani mkuu?? Labda umesoma mijini humu ambako changamoto ya elimu si kubwa sana.
Kuna mahali mtoto anatoka km nyingi ili afike shule, na kuna muda wa kwenda kula na kurud shule aendelee na msomo, wenzie wakitoka ye inabidi abaki bila kula chochote. Aisee ni huruma man.
Kitu kingine apa naona watz wengi wakitusua huwa wanaona ambao hawajatusua ni wazembe na wavivu, tukiondoa hiyo mindset itasaidia kusaidiana.
Usiwalaumu mkuu, tumetofautiana malezi. Wengine wanadhani mtu kutokua na uwezo ni yeye kapenda, kikubwa ni kusaidiana mzee.Ubinafsi na roho mbaya ya kiibilisi.
Hivi mtu kama huyu anayepinga mwanafunzi kupewa chakula shuleni ana akili na utu kichwani?