conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 811
- 681
- Thread starter
- #41
Ukweli 50%, vigae ni Aina ingine ya material roofing, 8naitaji utaalam wake, Ila hata bati kuvunja ni 50% pia. Tatizo kubwa kwenye ujenz ni matajir kukwepa kulipa pesa ya USHAURI au kuwa na mafundi wasio weredi. Wakidhan wanahimili gharama. Ila sio kweli. Uzoefu wangu katika USHAURI WA MAJENGO, mengi ambayo wametumia mafundi wasio na msimamiz weredi,20% wanakuwa wameongeza gharama zaidi.Mkuu mimi Napenda nyumba yangu niezeke bati za vigae,lkn jamaa zangu wananishauri kuwa nisizitumie hizo Kwasababu eti ni rahisi kuvuja.Vipi kuna Ukweli hapo?.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app