conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 811
- 681
- Thread starter
- #81
(60% sijaelewa SWALI lako vizur mteja wangu), ila kama unataka kujua hapo chini kama unawez kuzalisha chumba kingine bila kuseti upya msingi wenye ubora kama hiyo nyumba iliyo, Mimi nitakwambia ndivyo inawezekana, hiyo NGUZO moja na hizo kuta zinatosha kabisa kutozalisha NGUZO ingine, Ila kwenye jamvi pale ambapo sio compacted/kuna majani ndo nitadeal nako( by using hard core), alafu nitazalisha kuta mpya zinaitwa "non bearing wall" na kama nitataka kupanua zaidi ya kuta zilizopo (i.e.cantilever) isisizid 60cm.. ( only if my answer is relevant to your question pls). Notafurahi kama utanifafanulia zaid SWALI lako ili nijibu kitaalamu zaidi.View attachment 2913082
Mkuu nilichomaanisha ni kuwepa msingi hapo chini badala ya hivyo ilivyo. Lengo ni kupunguza ghafama za slab ya kubeba rooma. Naona maoni yako. Asante