Nitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu

Nitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu

Habari mkuu
Baada ya msingi wa mawe wa nyumba kubwa, fundi amesema tuweke wire mesh je zina msaada au lazima iwe nondo? Ardhi ni yenye asili ya udongo wa mfinyanzi.
Kazi ya WIRE MESH/+-6mm, ((ni kukwepa kutumia 12mm nondo km kiwango cha chini cha bajet (Ila ni muhimu kutumia hiyo options),)ni kuzuia crakes kwenye msingi na floor,. Hivyo USHAURI wake ulilenga kukupunguzia bajet ya kutumia 12mm dia. Tena ilibidi kabisa atumie pia hardcores.. image_48616a05-025d-4683-b285-6aa6342337e420230630_210422.jpgimage_48616a05-025d-4683-b285-6aa6342337e420230630_210422.jpg
image_1b8005d0-cf1b-4d69-9b1e-76e29777713520230630_205542.jpg
image_48616a05-025d-4683-b285-6aa6342337e420230630_210422.jpg
 
Hongera sana mkuu kwa kutoa elimu,binafsi naomba ushauri paa langu limepauka sana hadi linaanza kuota kutu yani hadi nyumba naanza kuichukia bila shaka niliuziwa bati fake lakini haivuji,je njia gani sahihi kurudisha muonekano mzuri tofauti na kupaua tena kwa bati zingine!Asante.
Mmh!, Paa linafanyiwa maintainance km unavyofanyq kwenye milango,gate za CHUMA au madirisha, Hamna RANGI haipo duniani, (coating), njia nzur nikuwa na mkemia mzur wa kuchanganya RANGI na kufanya upya display....gar lenyewe linabadirishwa RANGI sembuse paa, nenda arafu au kampuni za kuchina omba uzoefu wao ktk hili...Ila nashauri usibadiri RANGI nyingine km utafanya repair coating..
 
Ulijinasibisha utajibu swali lolote mbona mengine unapita wima
Rejea post #54
Niko tayari kulijibu kama nitalioona kiongoz. .... sorry, hii KAZI nimejipa mwenyewe..lipandishe tena. .. nipambane nalo..
 
Niko tayari kulijibu kama nitalioona kiongoz. .... sorry, hii KAZI nimejipa mwenyewe..lipandishe tena. .. nipambane nalo..
Mkuu unaweza kunifahamisha ujenzi wa Banda la kufugia ng'ombe atleast watanoZuri na la kisasa na gharama zake
 
Mkuu unaweza kunifahamisha ujenzi wa Banda la kufugia ng'ombe atleast watanoZuri na la kisasa na gharama z

Kaka ngoja niitafute details nitakupa majibu muda wowote.kwa haraka sitaweza. In short inaniitaji muda
 
sina skills za kuwa contractor wala sijasomea ujenzi,

ni heri niweke msimamizi professional ama nifosi kingi nisimamie mwenyewe ?
 
sina skills za kuwa contractor wala sijasomea ujenzi,

ni heri niweke msimamizi professional ama nifosi kingi nisimamie mwenyewe ?
Professional NI Bora zaidi, Ila mshirikishe kuanzia mchoro mpk kusimamia vibarua, yeye anaweza kuwa mshaur Tu kwenye baadhi ya scanario, Ila pia itategemea ukubwa wa project yako. Siku zote mtaalam atakupunguzia stress nyingi Sana na bajeti
image_b339a9d2-cea4-4d19-8cdc-f74b5a98a72f20230831_135231.jpg
 
Professional NI Bora zaidi, Ila mshirikishe kuanzia mchoro mpk kusimamia vibarua, yeye anaweza kuwa mshaur Tu kwenye baadhi ya scanario, Ila pia itategemea ukubwa wa project yako. Siku zote mtaalam atakupunguzia stress nyingi Sana na bajetiView attachment 2903870
hio picha inamaanisha nini ?

wapi naweza kuwapata, vigezo gani niviangalie.

makampuni mengi naona yanasimamia ujenzi wa nyumba za milioni 100 na kuendelea, wanaotaka kujenga yumba za kawaida let say milioni 40 ?
 
kuezeka kwa zege vs kuezeka kwa bati ipi itakuwa na unafuu wa gharama

Kwa maana nikiezekea zege,,nitakuwa nime save gharama za bati,mbao za kench, bundling, gypsum boards,mikanda na misumari lakini najua na zege linahitaji nondo,kokoto, cement,n.k,,,napenda zege kwasababu haina kelele wakati wa mvua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitumie number yako ya whatsap inbox..nitakwambia cha kufanya..nakukuunganisha kutegemea nchi na mkoa ulipo..
 
Attachments

  • image_1aae2224-6d2c-4cde-ba9b-ecbe0c6bb2d920221201_192146.jpg
    image_1aae2224-6d2c-4cde-ba9b-ecbe0c6bb2d920221201_192146.jpg
    80.3 KB · Views: 21
  • image_b26aa563-834e-47a6-9d3a-bff52fdf083c20230801_100809.jpg
    image_b26aa563-834e-47a6-9d3a-bff52fdf083c20230801_100809.jpg
    129.1 KB · Views: 23
kuezeka kwa zege vs kuezeka kwa bati ipi itakuwa na unafuu wa gharama

Kwa maana nikiezekea zege,,nitakuwa nime save gharama za bati,mbao za kench, bundling, gypsum boards,mikanda na misumari lakini najua na zege linahitaji nondo,kokoto, cement,n.k,,,napenda zege kwasababu haina kelele wakati wa mvua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitaalam na mazingira ya Tz, (km uko Tz) ,bajeti ya kujenga roof ya zege ni costive kuliko roofing ya bati, kwasababu designing inaanzia kwenye msingi. Hayo unaoona ni cost kwa bati ni physical complexity lakin kitaalam na risk na repair ...zege ndo unaiitaji kuboresha NGUZO za KUBEBA mzigo (dead load) kubwa zaidi..
 
Nitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu

Structure, design and building economic.
Katika eneo la uwanja wangu Kuna jamvi la zege, Sasa nilikuwa na mpango wa kuweka paving ambazo zina muundo na ukubwa wa marumaru. Je, ninaweza kufanikisha Bila ya kuathiri jamvi la zege? Au ni lazima jamvi la zege lifumuliwe kwanza ili kuweka kifusi Cha udongo Kisha kusawazisha?
Natanguliza shukrani.
 
Kwa maana ya ubora ya size?. KAZI kubwa ya tiles kwenye ukuta ni kuzuia maji yasipenye. Lakin kaz ya pil ni pambo Tu..tiles zote ni nzur kutegemea na nchi.. Ila cha muhim ni ufundi na namna yakutumia grouts, na spancer kwa umakini, siwezi kukutajiq tiles nzur ila kuna fundi mzuri.
Kazi za za tiles (tofauti na hizo)
1.Kurahisha kusafisha ukuta (Jikoni,bafuni,buchani,machinjioni)
2.Kuongeza kiwango cha joto ndani ya joto (mikoa na maeneo yenye ubaridi)
3.kuongeza kiwango cha mwanga (tiles uakisi mwanga)
4.Huzuia Athari za kemikali (kwa kuta za mahala,mana tiles haziathiriwi na kemikali kwa urahisi)
 
Kuna Aina nyingi za UFA /CRACK, Na inategemea imeanzia WAPI...kwenye msingi (substructure)au kwenye kuta (superstructure). na ni Aina ipi ya ufa...Ila njia nyepesi kutegemea na na crake lazma uwe na vifaa vifuatavyo,
1.mchanga
2.cement
3.Wavu/nondo/gunia katani.
Tindua hiyo Sehem kwa uzur Sana Ile style ya msalaba, changanya cement (1:3). na mchanga, , Anza na na nondo, then gunia alafufu weka cement (1:3). Hiyo miaka Mia. Hii theory haiusian na RETROFITTING kwenye nguzo. Kumbuka umwagiliaji unaboreshq jengo kwa 80% hivyo usisahau KAZ

Nikuwa na ditch nyingi....(contemporary roofing), au hiden roof kuna Aina mbili ya zege au ya bati. Ile ya zege haina shida kwasababu ukitumia recommended ratio M20 na ukingo wa 15-20mm nakuweka scheme za kupitisha maji na pipe zikakaa vizur au ukioona ngumu pia ongeza na tiles tatizo limeisha, kwenye PAA sasa imekuwa changamoto au zimekuwepo cases nyingi za kuvuja na ukwel kwamba tatizo liko kwenye SLOPE ( 30°) au arctan RISE/Run kuwa hamna au halipo. Cha kufanya :
1.weka slope towards short span,
2Weka matoleo ya maji piping (ditch) kwenye kuta angalau kila penye uwezekano wa kupokea maji.
3.Pembeni weka waterproof na hapa kuwa makini kuchagua nzur na ipo tech imeboreshwa Sana.
4.Hakikisha misumari ya bati hufanyi makosa na ikibidi seal it kwa grouting pia.
5.Paa liwe linafanyiwa usafi kila mara mvua zikinyesha ili kuondoka takataka (banking).
6.pia wakati wa kupigilia mbao (purlins), weka karasi ya nailon au kuna material sijuh kama huko yanapatikana hayapitishi maji. Basi utakuwa na uhakika wa kushinda tatizo Hilo. Hakikisha unaitumia vizuri hii kanuni A2+B2=C2 (2 ni exponent). Ili upate hypotenus sahii. Picha zinagoma kuwa attached..s

6.pia wakati wa kupigilia mbao (purlins), weka karasi ya nailon au kuna material sijuh kama huko yanapatikana hayapitishi maji. Basi utakuwa na uhakika wa kushinda tatizo Hilo. Hakikisha unaitumia vizuri hii kanuni A2+B2=C2 (2 ni exponent). Ili upate hypotenus sahii. Picha zinagoma kuwa attached..sor
ushauri mzuri bro...
Ila tukumbushane tu;floor tiles hazitakiwi ziwekwe kwenye slab roof kwa maana hazina uwezo wa kuhimili mionzi mikali ya jua kwa mda mrefu..
Hapo ungemshauri kutumia Rami,aluminium sheets,epdm n.k
 
Sishauri Sana, Kwan hazitofautiana Sana na ORDINARY CEMENT..kwa uwezo wa kustahilimili kuvuja, Ila ipo special cement au tafuta grouting type ingine ziko kwenye maduka
Hapo akienda madukani aulizie water proofing materials na si grouting...
 
Kuna Aina nyingi za UFA /CRACK, Na inategemea imeanzia WAPI...kwenye msingi (substructure)au kwenye kuta (superstructure). na ni Aina ipi ya ufa...Ila njia nyepesi kutegemea na na crake lazma uwe na vifaa vifuatavyo,
1.mchanga
2.cement
3.Wavu/nondo/gunia katani.
Tindua hiyo Sehem kwa uzur Sana Ile style ya msalaba, changanya cement (1:3). na mchanga, , Anza na na nondo, then gunia alafufu weka cement (1:3). Hiyo miaka Mia. Hii theory haiusian na RETROFITTING kwenye nguzo. Kumbuka umwagiliaji unaboreshq jengo kwa 80% hivyo usisahau KAZ

Nikuwa na ditch nyingi....(contemporary roofing), au hiden roof kuna Aina mbili ya zege au ya bati. Ile ya zege haina shida kwasababu ukitumia recommended ratio M20 na ukingo wa 15-20mm nakuweka scheme za kupitisha maji na pipe zikakaa vizur au ukioona ngumu pia ongeza na tiles tatizo limeisha, kwenye PAA sasa imekuwa changamoto au zimekuwepo cases nyingi za kuvuja na ukwel kwamba tatizo liko kwenye SLOPE ( 30°) au arctan RISE/Run kuwa hamna au halipo. Cha kufanya :
1.weka slope towards short span,
2Weka matoleo ya maji piping (ditch) kwenye kuta angalau kila penye uwezekano wa kupokea maji.
3.Pembeni weka waterproof na hapa kuwa makini kuchagua nzur na ipo tech imeboreshwa Sana.
4.Hakikisha misumari ya bati hufanyi makosa na ikibidi seal it kwa grouting pia.
5.Paa liwe linafanyiwa usafi kila mara mvua zikinyesha ili kuondoka takataka (banking).
6.pia wakati wa kupigilia mbao (purlins), weka karasi ya nailon au kuna material sijuh kama huko yanapatikana hayapitishi maji. Basi utakuwa na uhakika wa kushinda tatizo Hilo. Hakikisha unaitumia vizuri hii kanuni A2+B2=C2 (2 ni exponent). Ili upate hypotenus sahii. Picha zinagoma kuwa attached..s

Tumia expanded metal utanishukuru
Umetoaje ushauri wa tiba bila kujua aina ya nyufa, wapi ilipotokea na ukubwa wake...angalau angeweka picha za eneo lenye nyufa kwanza.
 
Katika eneo la uwanja wangu Kuna jamvi la zege, Sasa nilikuwa na mpango wa kuweka paving ambazo zina muundo na ukubwa wa marumaru. Je, ninaweza kufanikisha Bila ya kuathiri jamvi la zege? Au ni lazima jamvi la zege lifumuliwe kwanza ili kuweka kifusi Cha udongo Kisha kusawazisha?
Natanguliza shukrani.
Haina shida kabisa, kama iko kwenye vipimo sawa. Na kimsingi pavingi zinabidi ziwe kwenye jamvi la zege kama iko Lough.
 
Katika design concept inawezekana, na lengo kubwa la 1.5 storey NI kupunguza material cost, sasa Naona unataka kupunguza zaidi bajet yake.."Bungalow homes are almost always 1.5 stories tall (meaning they have a single room on the upper floor or small attic). They are made to accommodate a single family and tend to be laid out very practically, maximizing interior space with shelves set into walls"
Principle ya msingi kwenye kujenga NI je KUNA RISKI kiasi gani na unajua jinsi yakuikabiri?. Napenda kumsikiliza mteja na kutembelea miguu yake, na njia nzuri yakukataa kilicho RISK NI kumjibu " ngoja nipate mawazo zaidi kwa experts". Ila Anza na" possible theory "
Screenshot_20240223_111536_Gallery.jpg

Mkuu nilichomaanisha ni kuweka msingi hapo chini badala ya hivyo ilivyo. Lengo ni kupunguza gharama za slab ya kubeba room. Naomba maoni yako. Asante
 
Attachments

  • Screenshot_20240223_111536_Gallery.jpg
    Screenshot_20240223_111536_Gallery.jpg
    746.7 KB · Views: 22
Back
Top Bottom