Ukweli 50%, vigae ni Aina ingine ya material roofing, 8naitaji utaalam wake, Ila hata bati kuvunja ni 50% pia. Tatizo kubwa kwenye ujenz ni matajir kukwepa kulipa pesa ya USHAURI au kuwa na mafundi wasio weredi. Wakidhan wanahimili gharama. Ila sio kweli. Uzoefu wangu katika USHAURI WA MAJENGO, mengi ambayo wametumia mafundi wasio na msimamiz weredi,20% wanakuwa wameongeza gharama zaidi.Mkuu mimi Napenda nyumba yangu niezeke bati za vigae,lkn jamaa zangu wananishauri kuwa nisizitumie hizo Kwasababu eti ni rahisi kuvuja.Vipi kuna Ukweli hapo?.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Asante mkuuUkweli 50%, vigae ni Aina ingine ya material roofing, 8naitaji utaalam wake, Ila hata bati kuvunja ni 50% pia. Tatizo kubwa kwenye ujenz ni matajir kukwepa kulipa pesa ya USHAURI au kuwa na mafundi wasio weredi. Wakidhan wanahimili gharama. Ila sio kweli. Uzoefu wangu katika USHAURI WA MAJENGO, mengi ambayo wametumia mafundi wasio na msimamiz weredi,20% wanakuwa wameongeza gharama zaidi.
Nitakushauri kwa njia zote isipokuwa physical (video cal, drawings, supervising etc) nikiwa mbali na eneo lako..ukiniitaji nambie uduma gani unaiitaji..Nina wakala kila nchi EAST AFRICA. na Zaid nitumie detail inbox yangu.Sawa asante sana, wewe ni fundi ujenzi? Kama ni ndio upo mkoa gani?
Mkuu ninaweza kutenga 600000 kwa mshahara wangu, nisaidie stratergy ya kujenga nyumba ya vyumba 3(kimoja master), sitting, kichen, store na public toilet,Ndio ..SWALI NI kujenga nini...la msingi Sana kujenga kwa hatua. Bila pressure, kama kwa mwezi unaweza kupata laki mbili kwa ajiri ya bajet ya kujenga .utafamikisha..
.tafuta ardh
,Weka msingi WA vyumba 2
,Pandisha chumba KIMOJA
,Paua
,Jenga Choo
,Weka maji
Alafu anzia hapo ...Nina njia 12 za kukujengea nyumba Kwa bajet ya chini kabisa .Ila MTU AKIOUONA hiyo nyumba atadhan umetumia milion 50M Kumbe 15M.kutegemea na location.
Nina Vitu vinne vya kufanya kwenye finishingNitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu
Structure, design and building economic.
,alwindow,gypsum boards,tiles, skimming ,RANGI Or, Alwindow,Tiles,gypsum boards, skimming na RANGI Or, Gpsum body,AlWindow,Tiles skimming.. .unajua kwanini?. ITATEGEMEA UMAKINI ULIONAO kama tender sio yako peke yako na fundi ataeshim KAZI ya mwenzie . Hapo risk kubwa ni tiles na skimmingNina Vitu vinne vya kufanya kwenye finishing
Kufanya Skimming ndani
Kuweka Tiles
Kuweka Aluminium windows na
Kuweka Gypsum
Kipi kinatakiwa kianze na kipi kiwe cha mwisho
conductor nisaidie hapaMkuu ninaweza kutenga 600000 kwa mshahara wangu, nisaidie stratergy ya kujenga nyumba ya vyumba 3(kimoja master), sitting, kichen, store na public toilet,
NB, kiwanja kipo 30mx30m na mawe ya msingi trip 25 zipo tayari site
Anza na mchanga, 12cm (cubic metres), kama LAKI nne hivi..Baki na LAKI 2, nunua nondo 12mm kama kumi hivi. (Phase 1), badae tenga tena 600000, nunua tena nondo kumi hivi ,utabaki na LAKI nne, nunua tofar za nchi Tisa (230mm) kwa ajiri ya msingi HAKIKISHA unakuwa na tofari 250 Kwanza, alafu next nunua kokoto za LAKI sita...ndani ya miez sita utakuwa na stoko yakutosha, baada ya hapo tafuta mtaalau akudeginie mchoro mzur Sana...full..pambana nae Kwa bei...asizid 1M. kukupa full design ..hatua hizi ndani ya mwaka utakuwa uko hatua kubwa Sana...na hakikisha unavuta maji ya kusima ili kujihami...conductor nisaidie hapa
conductor huyu hujamjibu@OKWI BOBAN SUNZUView attachment 2900310
Mkuu kuna hii kitu mnaita 1.5 storey. Kuna ujinga nimewaza ili kupunguza gharama kulingana na uwezo.
Huo upande uliobeba ghorofa kutoacha space kwa chini, badala yake kuweka kifusi na zege la kawaida ili kukwepa gharama ya slab ya kutosha kubeba upper floor.
Inawezekana hii kitaalamu?
Katika design concept inawezekana, na lengo kubwa la 1.5 storey NI kupunguza material cost, sasa Naona unataka kupunguza zaidi bajet yake.."Bungalow homes are almost always 1.5 stories tall (meaning they have a single room on the upper floor or small attic). They are made to accommodate a single family and tend to be laid out very practically, maximizing interior space with shelves set into walls"conductor huyu hujamjibu@OKWI BOBAN SUNZU
Ahsante sanaKatika design concept inawezekana, na lengo kubwa la 1.5 storey NI kupunguza material cost, sasa Naona unataka kupunguza zaidi bajet yake.."Bungalow homes are almost always 1.5 stories tall (meaning they have a single room on the upper floor or small attic). They are made to accommodate a single family and tend to be laid out very practically, maximizing interior space with shelves set into walls"
Principle ya msingi kwenye kujenga NI je KUNA RISKI kiasi gani na unajua jinsi yakuikabiri?. Napenda kumsikiliza mteja na kutembelea miguu yake, na njia nzuri yakukataa kilicho RISK NI kumjibu " ngoja nipate mawazo zaidi kwa experts". Ila Anza na" possible theory "
Standard ya urefu wa nyumba ni Kati ya 2.9-3.2m... , suala la joto na barid kwa nyumba urefu sio kipengere Tu cha kuangalia, kuna na eneo lilipo, je IRINGA ukitaka nyumba iwe na joto utashusha urefu?. Na kinachopunguza joto la nyumba ni Kuwa na open space za kutosha, kupanda miti pembeni, kuwa na vent nk... Vinavyosababisha joto kuwa mbali na sebule na vyumba vya kulala, kama jiko, na Sehem zinazoitaji umeme muda mwingi.. contemporary has nothing about hot n cold...it's just finishing methodology only. Other principle stand constantly.Kwa Nyumba ya contemporary ili isiwe na joto natakiwa kujenga tofali ngapi (kozi ngapi) toka kwenye msingi mpaka kwenye Lenta(bim)?