Nitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu

Habari mkuu
Baada ya msingi wa mawe wa nyumba kubwa, fundi amesema tuweke wire mesh je zina msaada au lazima iwe nondo? Ardhi ni yenye asili ya udongo wa mfinyanzi.
Kazi ya WIRE MESH/+-6mm, ((ni kukwepa kutumia 12mm nondo km kiwango cha chini cha bajet (Ila ni muhimu kutumia hiyo options),)ni kuzuia crakes kwenye msingi na floor,. Hivyo USHAURI wake ulilenga kukupunguzia bajet ya kutumia 12mm dia. Tena ilibidi kabisa atumie pia hardcores..
 
Mmh!, Paa linafanyiwa maintainance km unavyofanyq kwenye milango,gate za CHUMA au madirisha, Hamna RANGI haipo duniani, (coating), njia nzur nikuwa na mkemia mzur wa kuchanganya RANGI na kufanya upya display....gar lenyewe linabadirishwa RANGI sembuse paa, nenda arafu au kampuni za kuchina omba uzoefu wao ktk hili...Ila nashauri usibadiri RANGI nyingine km utafanya repair coating..
 
Ulijinasibisha utajibu swali lolote mbona mengine unapita wima
Rejea post #54
Niko tayari kulijibu kama nitalioona kiongoz. .... sorry, hii KAZI nimejipa mwenyewe..lipandishe tena. .. nipambane nalo..
 
Niko tayari kulijibu kama nitalioona kiongoz. .... sorry, hii KAZI nimejipa mwenyewe..lipandishe tena. .. nipambane nalo..
Mkuu unaweza kunifahamisha ujenzi wa Banda la kufugia ng'ombe atleast watanoZuri na la kisasa na gharama zake
 
Mkuu unaweza kunifahamisha ujenzi wa Banda la kufugia ng'ombe atleast watanoZuri na la kisasa na gharama z

Kaka ngoja niitafute details nitakupa majibu muda wowote.kwa haraka sitaweza. In short inaniitaji muda
 
sina skills za kuwa contractor wala sijasomea ujenzi,

ni heri niweke msimamizi professional ama nifosi kingi nisimamie mwenyewe ?
 
sina skills za kuwa contractor wala sijasomea ujenzi,

ni heri niweke msimamizi professional ama nifosi kingi nisimamie mwenyewe ?
Professional NI Bora zaidi, Ila mshirikishe kuanzia mchoro mpk kusimamia vibarua, yeye anaweza kuwa mshaur Tu kwenye baadhi ya scanario, Ila pia itategemea ukubwa wa project yako. Siku zote mtaalam atakupunguzia stress nyingi Sana na bajeti
 
hio picha inamaanisha nini ?

wapi naweza kuwapata, vigezo gani niviangalie.

makampuni mengi naona yanasimamia ujenzi wa nyumba za milioni 100 na kuendelea, wanaotaka kujenga yumba za kawaida let say milioni 40 ?
 
kuezeka kwa zege vs kuezeka kwa bati ipi itakuwa na unafuu wa gharama

Kwa maana nikiezekea zege,,nitakuwa nime save gharama za bati,mbao za kench, bundling, gypsum boards,mikanda na misumari lakini najua na zege linahitaji nondo,kokoto, cement,n.k,,,napenda zege kwasababu haina kelele wakati wa mvua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hio picha inamaanisha nini ?

wapi naweza kuwapata, vigezo gani niviangalie.

makampuni mengi naona yanasimamia ujenzi wa nyumba za milioni 100 na kuendelea, wanaotaka kujenga yumba za kawaida let say milioni 40 ?
Nitumie number yako ya whatsap inbox..nitakwambia cha kufanya..nakukuunganisha kutegemea nchi na mkoa ulipo..
 

Attachments

  • image_1aae2224-6d2c-4cde-ba9b-ecbe0c6bb2d920221201_192146.jpg
    80.3 KB · Views: 21
  • image_b26aa563-834e-47a6-9d3a-bff52fdf083c20230801_100809.jpg
    129.1 KB · Views: 23
Kitaalam na mazingira ya Tz, (km uko Tz) ,bajeti ya kujenga roof ya zege ni costive kuliko roofing ya bati, kwasababu designing inaanzia kwenye msingi. Hayo unaoona ni cost kwa bati ni physical complexity lakin kitaalam na risk na repair ...zege ndo unaiitaji kuboresha NGUZO za KUBEBA mzigo (dead load) kubwa zaidi..
 
Nitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu

Structure, design and building economic.
Katika eneo la uwanja wangu Kuna jamvi la zege, Sasa nilikuwa na mpango wa kuweka paving ambazo zina muundo na ukubwa wa marumaru. Je, ninaweza kufanikisha Bila ya kuathiri jamvi la zege? Au ni lazima jamvi la zege lifumuliwe kwanza ili kuweka kifusi Cha udongo Kisha kusawazisha?
Natanguliza shukrani.
 
Kazi za za tiles (tofauti na hizo)
1.Kurahisha kusafisha ukuta (Jikoni,bafuni,buchani,machinjioni)
2.Kuongeza kiwango cha joto ndani ya joto (mikoa na maeneo yenye ubaridi)
3.kuongeza kiwango cha mwanga (tiles uakisi mwanga)
4.Huzuia Athari za kemikali (kwa kuta za mahala,mana tiles haziathiriwi na kemikali kwa urahisi)
 


ushauri mzuri bro...
Ila tukumbushane tu;floor tiles hazitakiwi ziwekwe kwenye slab roof kwa maana hazina uwezo wa kuhimili mionzi mikali ya jua kwa mda mrefu..
Hapo ungemshauri kutumia Rami,aluminium sheets,epdm n.k
 
Sishauri Sana, Kwan hazitofautiana Sana na ORDINARY CEMENT..kwa uwezo wa kustahilimili kuvuja, Ila ipo special cement au tafuta grouting type ingine ziko kwenye maduka
Hapo akienda madukani aulizie water proofing materials na si grouting...
 


Tumia expanded metal utanishukuru
Umetoaje ushauri wa tiba bila kujua aina ya nyufa, wapi ilipotokea na ukubwa wake...angalau angeweka picha za eneo lenye nyufa kwanza.
 
Haina shida kabisa, kama iko kwenye vipimo sawa. Na kimsingi pavingi zinabidi ziwe kwenye jamvi la zege kama iko Lough.
 

Mkuu nilichomaanisha ni kuweka msingi hapo chini badala ya hivyo ilivyo. Lengo ni kupunguza gharama za slab ya kubeba room. Naomba maoni yako. Asante
 

Attachments

  • Screenshot_20240223_111536_Gallery.jpg
    746.7 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…