Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Mkuu najua una orders nyingi pia yakwangu ni muhimu
 
kwenye website yako.
nimeona laptop yenye ram gb 16 na nvidia card inauzwa laki mbili.. 🤔
 
Bonge
Bonge moja la wazo! Hongera
 
kuna jamaa yupo dubai anauza simu za zamani, anaweka sana mawasiliano instagram na simu anazouza.

kama upo tayari nikupe link uangalie alafu utaniambia nikutajie simu.

tafadhali jibu kwa ku quote ujumbe huu ili nione.
 
simu za zamani za kazi gani chiefs.
 
Asante,najisajili kwenye huu Uzi na ninaendelea kufuatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…