Nitajie kitu kimoja Mungu aliumba/ aliweka hapa duniani kinavutia kutazama zaidi ya Mwili wa mwanamke

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.

Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.

20230330_200701.jpg
 
Hakuna zaidi ya sisi Wanawake ..Huyo ndio MWENYEZI MUNGU M’bora wa Uumbaji
 
kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke
Kua makini na maelezo yako mkuu, hivi unaelewa ulichokiandika
Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Una uhakika na unachokisema ?
Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
Mbingu na Ardhi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana,
 
Back
Top Bottom