Kama picha huna useme tukupe😂Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
[emoji2][emoji2][emoji2] sasa hiyo ndio pisi kali?Kama picha huna useme tukupe[emoji23]View attachment 2571350
Hakuna zaidi ya sisi Wanawake ..Huyo ndio MWENYEZI MUNGU M’bora wa UumbajiUwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
Nyie viumbe watamu sana kuanzia kuwaangalia mpaka kula uteleziHakuna zaidi ya sisi Wanawake ..Huyo ndio MWENYEZI MUNGU M’bora wa Uumbaji
Hakika MWENYEZI MUNGU hakosei amejisifuNyie viumbe watamu sana kuanzia kuwaangalia mpaka kula utelezi
Mungu fundi
Amina 🙏Hakika MWENYEZI MUNGU hakosei amejisifu
Kua yeye ni M’bora wa Uumbaji 🤣🤣🤣
Kua makini na maelezo yako mkuu, hivi unaelewa ulichokiandikakama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke
Una uhakika na unachokisema ?Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Mbingu na Ardhi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana,Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
Anduje wako huyo 🤣🤣🤣🤣
Kuna vitu havikwepeki Albert Einstein na mahesabu yake yote ila unambiwa pia alijikita katika uchakatajiVijana wa Tz mnawaza ujinga 24/7
😊😀😀Kuna vitu havikwepeki Albert Einstein na mahesabu yake yote ila unambiwa pia alijikita katika uchakataji