ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
1.Taylor swift- huyu anasikilizwa sana duniani na ni mmoja mwenye ma followers wengi ila hakuna hata kazi yake moja naijua wala kuisikiliza
2-Migos-hata sielewi nyimbo wanazoimba trap gani imepooza hivyo si bora african trap.sina kazi yao ninayoipenda hata moja
2-Migos-hata sielewi nyimbo wanazoimba trap gani imepooza hivyo si bora african trap.sina kazi yao ninayoipenda hata moja