ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Haha kama mimi mkuu,Daimond plutinu huyu jamaa sijawah muelewa
Unaweza iweka fullSamuya.
Huyu hajawahi kuwa na kazi inayoeleweka.
Yupo yupo tu kama shepu za kichaga.
View attachment 3584738
Hata Mimi simwelewi kabisa huyo Taylor🤔🤔🤔1.Taylor swift- huyu anasikilizwa sana duniani na ni mmoja mwenye ma followers wengi ila hakuna hata kazi yake moja naijua wala kuisikiliza
2-Migos-hata sielewi nyimbo wanazoimba trap gani imepooza hivyo si bora african trap.sina kazi yao ninayoipenda hata moja