Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Jipige kifua ...sema wewe ni nwamba!!!!Yangu 10/1
Ke wakwanza 6/4
Wapili 9/ 2
Watatu 15/9
Wanne 11/2
Me 12/04 jina JNitarudi kwa majibu yenu wote leo wakuu.
Sawa usisahau hii me 13/10 ke 7/7Nitarudi kwa majibu yenu wote leo wakuu.
Mimi ni mwanaume nimezaliwa april 10 jina linaanzia na L, yeye ni mwanamke amezaliwa january 12 jina linaanzia na N.Andika upya ujumbe na jitahidi ujitosheleze details mkuu instead ya mimi kuanza kupekua ujumbe upo wapi post ya ngapi ni bora mngekuwa mnazingatia maelekezo
Huyo mganga yuko wapiKwani hakuna Mungu katika Israel hadi mnawaendea waganga?