Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Jina langu linaanzia na R na tarehe ni 18 February
Yeye linaanzia na A na tarehe yake ni 27 February
 
Jina langu linaanzia na R na tarehe ni 18 February
Yeye linaanzia na A na tarehe yake ni 27 February
Ongeza details na aina ya mahusiano mlionayo mwanzo? ndoa?
 
Mimi me 27 jan jina f,
Yeye ni 7 apr jina ni t
 
Ama kwa hakika humu kuna watu mna dhalau sana na kashfa za kichini chini. Kuna vitabu si chini ya elfu 2 vinazungumzia hizi vitu na ukienda google hukuti anyway.
It where we dare to talk openly even imbecile can quote us.
 
Jina langu linaanzia na R na tarehe ni 18 February
Yeye linaanzia na A na tarehe yake ni 27 February
Sawa kwa hapa mtizamo wenu unaonekana kuwa sawa na maelekezo niliyotoa hapa;

Sawa kwa mtizamo huu unaonekana ni mtu mwenye asili ya upepo wa kimbunga na yeye anaonekana ana asili ya maji yaliyotulia
Hivyo kwa mtizamo ni watu ambao hamuendani maana mnaendana kwa asilimia 38 ambazo ni ndogo sana katika mahusiano yenu na ufuatao ni uchambuzi wako;

Unaonekana ni mtu mwenye kuvutiwa na haiba yake ya kimapenzi na vile vile yeye anavutiwa zaidi na maadili na maono yako dimbwi lake la mawazo anaonekana kuliwazika zaidi na chochote kile ambacho wewe unataka kwake na ni watu wenye uwezo mzuri wa kufikishana kwenye ladha ya mapenzi. Ingawa kwa vyovyote vile mnavyokuwa mambo huanza kwenda kombo pale ambapo yeye huanza kutaka na kulazimisha zaidi wewe kwenda katika ulimwengu wake wa ndoto za mchana katika mapenzi na kuota kufanya mambo makubwa na kukulazimisha kufanya hata kama huna uwezo navyo yeye ni mtu mwenye kutaka mtu ambaye atakuwa thabiti katika kumuongoza kila wakati na kumpeleka kimazungumzo anavyotaka yeye na ni uwe mtumwa wake zaidi ndivyo yeye anavutika zaidi hivyo mtu anaemfaa zaidi huyu ni wenzie either mwenye maji moto au maji ya bahari kwa wewe ni bora uangalie uelekeo mwingine kwa maana hapo utapasuka roho.

SEHEMU ZAKE ZA HISIA;

Miguu ndio sehemu yake kuu ya hisia ukiweza kucheza nae vizuri hapo unaweza kupewa unachotaka.
 
IKIWA BADO SIJAKUCHAMBULIA NA NIMERUKA QUOTE YAKO BASI WAWEZA KUIRUDIA HAPA
 
Kuna watu wanajua kugeuza wenzao ma zombie .hona acho wafanya huyu bwana mna shuka tu [emoji81][emoji81]
 
Na shida ndio inaanzia hapa na mwanaume atalazimisha kumuowa huyohuyo matokeo yake vilio vya kwenye ndoa za kisasa haviishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…