Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya sawa nisomee nijioneSio majaribio mkuu wenye kutaka kujua wanafahamu jinsi ya kuquote
MkeOngeza details na aina ya mahusiano mlionayo mwanzo? ndoa?
Ama kwa hakika humu kuna watu mna dhalau sana na kashfa za kichini chini. Kuna vitabu si chini ya elfu 2 vinazungumzia hizi vitu na ukienda google hukuti anyway.Huyu anachokifanya n kuingia google na kuangalia zodiac signs za watu ndo atakapowapa majibu sasa inachukua mda kwahyo mweny uzi kajikomoa mwenywe, by the way hata wewe mwenywe unaweza kuangalia and trust me vtu vya huko n ukwel mtupu kwa asilimia kubwa
Sawa kwa hapa mtizamo wenu unaonekana kuwa sawa na maelekezo niliyotoa hapa;Jina langu linaanzia na R na tarehe ni 18 February
Yeye linaanzia na A na tarehe yake ni 27 February
Na shida ndio inaanzia hapa na mwanaume atalazimisha kumuowa huyohuyo matokeo yake vilio vya kwenye ndoa za kisasa haviishi.Karibu mkuu kwa mtizamo unaonyesha wewe ni mwenye tabia za Maji yaliyotulia na yeye ni Upepo wa juu hivyo kwa mfuatano huu wa mahusiano nasikitika kukujuza kuwa hamuendani na mtaacha unless uwe mtumwa wake nayo utavumilia kwa muda kisha yatakushinda utatafuta pengine
Japokuwa ni watu mnapendezana mkiwa pamoja,wabunifu na mapenzi yenu yanaweza kujaa kujidanganya ni watu ambao mkikutana mnaweza kuingia haraka sana kwenye mapenzi na yakawa moto lakini ni short fuse. Wewe unategemewa kuwa ni mtu mwenye kupenda kusaidiwa kihisia katika mapenzi na ni mtu mpole na mkimya mwenye upepo kwa watu tofauti tofauti lakini hutapata kujaliwa kihisia kwake kwa maana yeye hupenda mapenzi ya kujirusha na ya kukimbia kimbia japo anaweza kukuigizia ni mtulivu ni mtu ambaye hata kuvumilia muda mrefu anaweza kukukimbia unless utumie nguvu za ziada pia nyote mnaonekana kupenda kuwa pamoja nyumbani japo wewe kimtizamo wa akili yake anakuona ni mzembe katika kutafuta pesa na hali ya kuwa yeye ni mtu wa kutaka kufurahisha nafsi yake na mwenye matumizi. Mara nyingi akiwa na wewe atajiona kabanika na hana uhuru wa kufanya anayoyataka kitu ambacho humfanya kukuchukia taratibu ni watu ambao hamtoshani kimwili na vile vile kwa kuwa tu mnafikishana basi lakini kama mtakuwa ni marafiki tu wa mbali watu wanawaita wapasha viporo mtaendana.
mnaonekana kuendana tu kwa asilimia 29
SEHEMU ZA HISIA.
Ni mtu mwenye hisia zaidi katika kiuno chake kama unataka kumpumbaza katika tendo basi muombe kucheza cheza nae ili akikatika uwe umemshika kiuno na ukimgusa kisehemu kile wanachotumia kuchoma sindano za matak* basi yeye huhisi raha sana na hisia za kiwazimu na pia anapenda kuoga pamoja hasa ukimsponge eneo hilo na makalio yake
Ukifanya utundu zaidi eneo hilo chochote unachotaka atafanya lakini ndio hivyo mtaishia njiani
Rakims