Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Kwa mtizamo unavyoonekana mnaendana kwa asilimia 75 si hapa nae ni moto wa nyasi na wewe ni moto wa mkaa tabia zenu zinafaa kuoana vema pia tambua mahusiano yenu

Unaonekana kuvutiwa na matumaini yake na anaonekana ni mtu mwenye kukupa matumaini na vile yeye ni mtu wa kusafiri au kutoka unakuwa ni mvuto zaidi kwako ambaye pia unaonekana ni mtu mwenye kuliwazika ukipata visafari/mitoko midogo pamoja mnaonekana ni wenye kujumuika katika kuwa na mahusiano yenye uhuru ya bila kubanana yaani kujinafasi na kukutana na watu wapya nyote ni watu wenye mapenzi makali ya moto na wenye kuvutiwa katika tendo la ndoa na kama kuna mtu wa kumfanya mwanamume mwenye tabia kama za huyu wako kuwa muaminifu na mtulivu basi ni mwanamke kama wewe waswahili wanasema unamuweza unaonekana ni muongozaji mzuri kwenye maswala ya mahusiano ni kiongozi bora na kitu ambacho kinamfanya kuvutika zaidi na wewe unaonekana ni mtu wa kujisifu kiasi na mwenye kujiamini nae ni mtu wa matumizi makubwa na mwenye kuja kukuletea furaha hata kama ni masikini atakuja kukuletea mafanikio makubwa maishani kindoa mnaingia katika mlango wa 2 mlango wa pesa na mafanikio.
Ni mtu yupo radhi kukukamilishia chochote.

Sehemu za hisia:
Sehemu zako za hisia zaidi ni maeneo ya moyoni na kifua lakini kwa yeye ni mapajani ikiwa utamtomasa vema mkiwa mmekaa pamoja ni mtu mwenye kupenda michezo ya mafuta(18+) hivyo huona raha sana.

Rakims
Hapa kwenye mafuta nifafanulie 😃😃😃
 
Jina langu linaanzia na S na tarehe ni 12, march
Yeye linaanzia na K (khadija) na tarehe yake ni 16 october
Karibu mkuu kwa mtizamo unaonyesha wewe ni mwenye tabia za Maji yaliyotulia na yeye ni Upepo wa juu hivyo kwa mfuatano huu wa mahusiano nasikitika kukujuza kuwa hamuendani na mtaacha unless uwe mtumwa wake nayo utavumilia kwa muda kisha yatakushinda utatafuta pengine
Japokuwa ni watu mnapendezana mkiwa pamoja,wabunifu na mapenzi yenu yanaweza kujaa kujidanganya ni watu ambao mkikutana mnaweza kuingia haraka sana kwenye mapenzi na yakawa moto lakini ni short fuse. Wewe unategemewa kuwa ni mtu mwenye kupenda kusaidiwa kihisia katika mapenzi na ni mtu mpole na mkimya mwenye upepo kwa watu tofauti tofauti lakini hutapata kujaliwa kihisia kwake kwa maana yeye hupenda mapenzi ya kujirusha na ya kukimbia kimbia japo anaweza kukuigizia ni mtulivu ni mtu ambaye hata kuvumilia muda mrefu anaweza kukukimbia unless utumie nguvu za ziada pia nyote mnaonekana kupenda kuwa pamoja nyumbani japo wewe kimtizamo wa akili yake anakuona ni mzembe katika kutafuta pesa na hali ya kuwa yeye ni mtu wa kutaka kufurahisha nafsi yake na mwenye matumizi. Mara nyingi akiwa na wewe atajiona kabanika na hana uhuru wa kufanya anayoyataka kitu ambacho humfanya kukuchukia taratibu ni watu ambao hamtoshani kimwili na vile vile kwa kuwa tu mnafikishana basi lakini kama mtakuwa ni marafiki tu wa mbali watu wanawaita wapasha viporo mtaendana.
mnaonekana kuendana tu kwa asilimia 29

SEHEMU ZA HISIA.
Ni mtu mwenye hisia zaidi katika kiuno chake kama unataka kumpumbaza katika tendo basi muombe kucheza cheza nae ili akikatika uwe umemshika kiuno na ukimgusa kisehemu kile wanachotumia kuchoma sindano za matak* basi yeye huhisi raha sana na hisia za kiwazimu na pia anapenda kuoga pamoja hasa ukimsponge eneo hilo na makalio yake
Ukifanya utundu zaidi eneo hilo chochote unachotaka atafanya lakini ndio hivyo mtaishia njiani

Rakims
 
Mimi ni mwanaume, tarehe ya kuzaliwa ni 25 mwezi january, mchumba wangu ni tarehe 19 mwezi march.
Sawa kwa mtizamo huu unaonekana ni mtu mwenye asili ya upepo wa kimbunga na yeye anaonekana ana asili ya maji yaliyotulia
Hivyo kwa mtizamo ni watu ambao hamuendani maana mnaendana kwa asilimia 38 ambazo ni ndogo sana katika mahusiano yenu na ufuatao ni uchambuzi wako;

Unaonekana ni mtu mwenye kuvutiwa na haiba yake ya kimapenzi na vile vile yeye anavutiwa zaidi na maadili na maono yako dimbwi lake la mawazo anaonekana kuliwazika zaidi na chochote kile ambacho wewe unataka kwake na ni watu wenye uwezo mzuri wa kufikishana kwenye ladha ya mapenzi. Ingawa kwa vyovyote vile mnavyokuwa mambo huanza kwenda kombo pale ambapo yeye huanza kutaka na kulazimisha zaidi wewe kwenda katika ulimwengu wake wa ndoto za mchana katika mapenzi na kuota kufanya mambo makubwa na kukulazimisha kufanya hata kama huna uwezo navyo yeye ni mtu mwenye kutaka mtu ambaye atakuwa thabiti katika kumuongoza kila wakati na kumpeleka kimazungumzo anavyotaka yeye na ni uwe mtumwa wake zaidi ndivyo yeye anavutika zaidi hivyo mtu anaemfaa zaidi huyu ni wenzie either mwenye maji moto au maji ya bahari kwa wewe ni bora uangalie uelekeo mwingine kwa maana hapo utapasuka roho.

SEHEMU ZAKE ZA HISIA;

Miguu ndio sehemu yake kuu ya hisia ukiweza kucheza nae vizuri hapo unaweza kupewa unachotaka.

Rakims
 
Back
Top Bottom