Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasha rudi mkuu haya mimi nataka kutabiliwa hatima yanguSawa wacha tuendelee kumsubiri akirudi fanya kunitag
Hapa kwenye mafuta nifafanulie 😃😃😃Kwa mtizamo unavyoonekana mnaendana kwa asilimia 75 si hapa nae ni moto wa nyasi na wewe ni moto wa mkaa tabia zenu zinafaa kuoana vema pia tambua mahusiano yenu
Unaonekana kuvutiwa na matumaini yake na anaonekana ni mtu mwenye kukupa matumaini na vile yeye ni mtu wa kusafiri au kutoka unakuwa ni mvuto zaidi kwako ambaye pia unaonekana ni mtu mwenye kuliwazika ukipata visafari/mitoko midogo pamoja mnaonekana ni wenye kujumuika katika kuwa na mahusiano yenye uhuru ya bila kubanana yaani kujinafasi na kukutana na watu wapya nyote ni watu wenye mapenzi makali ya moto na wenye kuvutiwa katika tendo la ndoa na kama kuna mtu wa kumfanya mwanamume mwenye tabia kama za huyu wako kuwa muaminifu na mtulivu basi ni mwanamke kama wewe waswahili wanasema unamuweza unaonekana ni muongozaji mzuri kwenye maswala ya mahusiano ni kiongozi bora na kitu ambacho kinamfanya kuvutika zaidi na wewe unaonekana ni mtu wa kujisifu kiasi na mwenye kujiamini nae ni mtu wa matumizi makubwa na mwenye kuja kukuletea furaha hata kama ni masikini atakuja kukuletea mafanikio makubwa maishani kindoa mnaingia katika mlango wa 2 mlango wa pesa na mafanikio.
Ni mtu yupo radhi kukukamilishia chochote.
Sehemu za hisia:
Sehemu zako za hisia zaidi ni maeneo ya moyoni na kifua lakini kwa yeye ni mapajani ikiwa utamtomasa vema mkiwa mmekaa pamoja ni mtu mwenye kupenda michezo ya mafuta(18+) hivyo huona raha sana.
Rakims
Mkuu jibu hii mimi ndio meMe 17/01/ herufi C na ke 21/04 herufi E
usiniroge masterI prefer J.I majukwaa mengine kila kitu jokes na bange tupu
Nimeongezea details Kaka...Mimi Me 26/06 Herufi E
Yeye ke 04/04 Herufi L
Karibu mkuu kwa mtizamo unaonyesha wewe ni mwenye tabia za Maji yaliyotulia na yeye ni Upepo wa juu hivyo kwa mfuatano huu wa mahusiano nasikitika kukujuza kuwa hamuendani na mtaacha unless uwe mtumwa wake nayo utavumilia kwa muda kisha yatakushinda utatafuta pengineJina langu linaanzia na S na tarehe ni 12, march
Yeye linaanzia na K (khadija) na tarehe yake ni 16 october
Sawa kwa mtizamo huu unaonekana ni mtu mwenye asili ya upepo wa kimbunga na yeye anaonekana ana asili ya maji yaliyotuliaMimi ni mwanaume, tarehe ya kuzaliwa ni 25 mwezi january, mchumba wangu ni tarehe 19 mwezi march.