Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo hivi kwa mtizamo wewe ni mwenye asili ya moto wa nyasi na yeye ni mchanga wa bahari kwa haraka tu hapa mnakuwa hamuendani mkuu kwa maana mpo tofauti sana kwa maana;-
Wawili nyie ni wenye asili ya upepo wa juu na upepo wa chini wote ni asili ya upepo na mnaweza kuwa mnaendana hata tukirejea kwenye asilimia mnaendana kwa asilimia 78 kwa mtizamo wenu wawili tukianza na wewe mwenyewe mwenye nyota ya Mizani ni kwamba unaeleweka kuwa ni mwenye kupenda raha na mwenye moyo wa hali ya juu yaani mwenye kujitolea sana katika kusaidia,
Wewe ni moto wa jaha na yeye ni moto wa nyasi;
Wawili nyie ni wawili wasioendana hata kitabia,Mimi Me: E 07/05
Yeye Ke:. H 02/06
Yeye mwenye uchangamfu na hisia anapoungana na wewe mwenye shauku, basi ngono kwenye huwa ni matani na michezo, Pia ujuzi na ujanja wake katika mapenzi anajua jinsi gani ya kukuingia jeuri na utundu wako hapo unakuwa unatulizwa.Mimi ke 11/2 H
Yeye me 25/9 L
Sawa mtizamo unaonyesha wewe ni moto wa mkaa na yeye ni upepo wa pumzi,ME 14/08
KE 10/06
kuna zawadi yako pia mtabiri
Baina ya wawili nyie ni sawa na kidole na pete
Mahusiano haya ni sawa na watu wawili waliokosa uelekeo hawa ndio ukiskia mtu kakosea kuoa au kuolewa.15/1 me - m
26/9 ke - sa
Yeye mwenye uchangamfu na hisia anapoungana na wewe mwenye shauku, basi ngono kwenye huwa ni matani na michezo, Pia ujuzi na ujanja wake katika mapenzi anajua jinsi gani ya kukuingia jeuri na utundu wako hapo unakuwa unatulizwa.
Ni wenye kupendezewa kila mmoja na akili/fikra ya mwingine jinsi inavyofanya kazi na mnaonekana ni wenye kupenda muziki aina moja,kumbi za sinema pamoja na wasanii au sanaa. Nyote wawili mtajikuta ni wenye kupenda parties na watu wengine na pia mnaweza kuwa ni wenye kupenda kushughulika na shughuli aina moja au mtizamo mmoja katika uchakarikaji.
Wala hamtakuwa ni wenye kuzozana kwamba nani awe kiongozi na nani awe mfuasi kwa maana nyote wawili ni wenye kupenda haki sawa.
Hii couple yenu inapendeza sana,
lakini mkikaa muda mrefu bila kuoana basi kuna mmoja ataachia ngazi. Lakini kama mnataka maisha marefu mmoja wenu atasettle down.
Rakims
Sasa mtoto anatafuta nini hapa?Mwanaume
Tar: 9 April jina R
Mimi Mwanamke
Tar: 28 April jina A
Mtoto wetu.
Tar: 29 April jina N
Cheki hapo boss Rakims