Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Ninachokiona ni ww kutumia ad-hominems tu badala ya kuona nimeuweka wazi ushirikina unaoufanya.Na haitaondoa ukweli kuwa wewe ni Mpumbavu kunilingania mimi hali ya kuwa wewe ni kafiri jilinganie wewe kwanza.
Ukishatakata ndio ulinganie ukoo wenu, ukisha takata ndio ulinganie, mkeo,na ndugu zako wote kisha wananchi wenzio. Kisha watu wasiojulikana kisha Member wa jamii forums kisha duniani na kwingine kote ila mimi niache na upotovu wangu... Maana ni bora kuwa mpotovu kuliko kusikiliza mjinga..
Imagine umekaa na kichaa unamsikiliza. ndio mimi nikae nakusikiliza wewe eti unaharamisha nyota unahalalisha zinaa halafu kwa upumbavu wako umeziba profile ili akili yako ilivyofinyu sasa hivi unaanza kukataa ili kutoa ushahidi wewe ni mdogo sana kimaarifa mdogo wangu Mpumbavu. Badirika You playing yourself like solitaire
Yani unataka kuwaaminisha watu wewe mtakatifu wakati ni kafiri kufurah Neemah
Rakims
Hakuna sehemu nimehalalisha zinaa, kufanya zinaa no tofauti na kuhalalisha zinaa...ukifanya zinaa unakuwa umefanya miongoni mwa madhambi makubwa ambayo hayamtoi mja katika uislam..ila ukihalalisha zinaa unakuwa umetenda Kufr inayokutoa katika uislam. Kaa chini usome misingi ya aqeedah sahihi ya uislam.
Allah amesema kuwa hasamehi dhambi ya kushirikishwa ila anasamehe mengine yasiyokuwa hayo madhali mja ametubia . Ukifa na itikadi yako hiyo ya uchawi na ushirikina (horoscope) unakufa hali ya kuwa upo nje ya uislam.
Btw, hakuna sehemu niliyosema au kujifanya mimi ni mtakatifu,am just a sinner like everybody else but i am not mushrik like you .
Tubia kwa ALLAH na uache ushirikina wako.