Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

Atufafanulie kwanza ndio wengine tuanze kuchangia.
 
Nyerere ni msanii?
 
Lady jay dee ana akili nyingi sana sema hajatumia hata nusu ya uwezo wake my be kutokana na circle yake inayomzunguka

Professor Jay ana akili sana
Bad lucky maradhi yamekatisha njiani
Hakuna binadamu anayeweza kutumia nusu ya uwezo wake hata nikola Tesla hakuweza kutumia nusu ya uwezo wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…