Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.

Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Tafuta charger za Oraimo (original), Moxom au zile za Redmi ziko bomba sana, nishawahi kuzitumia
 
Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.

Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Inategemea na simu yako kama ina uwezo wa kuchaji kwa dakika 20 ila hiyo 15W haiwezi. Hapo lazima upate angalau 80W.
 
Mimi kwa sasa nina 45w nachaji kwa dakika 58 kutoka 0% mpaka 100% mwanzo nilikua na Samsung 12 ya 15w ilikuwa inatumia zaidi ya masaa mawili kujaa.
 
Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.

Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.

Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Unataka ujaze simu kwa dk 20 kwa chaja ya 15w ..kwa hizo dk 20 inamaana utakuwa umeingiza only 5w ..manake battery yako ina 1351 mAh 🤔 mbona hii ni batteryndogo sana walakwa sasa hakuna smart ya battery hio? Pia huwezi jaza any battery ya zaidi ya 2000mah kwa dk 20 ukiwa na 15w charger

Pia sijajua hio 15w simu yako inapokea kwenye volt ngapi? Maana kuna huawei 15w ni kwenye volt 5 means current ya 3A ina flow na waya nyingi hazibebi hio current pia, na kuna 15w kwenye 9v ambayo current ya 1.67A ina flow sijui yako ni ipi
 
Yakwangu ni OG, but inachaji zaidi ya masaa mawili ndio inajaa fulu fulu
 
Duh!
Ulikuwa unafaidi kweli mkuu.

Nina chaji ya Kichina ya 15W, japo ni 15W lakini inajaza kwa masaa mawili
Simu aina gani ..? Huenda haisaport

Simu nayotumia hapa ina 4000mah charge ni 10w tu during charging huwa inasoma hadi 1.8A inaingia
 
Unataka ujaze simu kwa dk 20 kwa chaja ya 15w ..kwa hizo dk 20 inamaana utakuwa umeingiza only 5w ..manake battery yako ina 1351 mAh 🤔 mbona hii ni batteryndogo sana walakwa sasa hakuna smart ya battery hio? Pia huwezi jaza any battery ya zaidi ya 2000mah kwa dk 20 ukiwa na 15w charger

Pia sijajua hio 15w simu yako inapokea kwenye volt ngapi? Maana kuna huawei 15w ni kwenye volt 5 means current ya 3A ina flow na waya nyingi hazibebi hio current pia, na kuna 15w kwenye 9v ambayo current ya 1.67A ina flow sijui yako ni ipi
Sijui kichwa changu kina mambo mengi?! Hizo physics sijakuelewa mkuu.

Anway, tuachane nazo tusirefushe muda. Natumia Samsung S10.
Kwa mwenye simu ya 15W anunue chaja gani ajaze haraka simu yake?
 
Back
Top Bottom