Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

Sijui kichwa changu kina mambo mengi?! Hizo physics sijakuelewa mkuu.

Anway, tuachane nazo tusirefushe muda. Natumia Samsung S10.
Kwa mwenye simu ya 15W anunue chaja gani ajaze haraka simu yake?
S 10 si ukanunue chaja yake Samsung.
Hapa mnachoshana tu
 
Fast charging inatengeneza joto jingi na ndo maana nyingi zikifika 80% zinaanza kuslow down ili zicool simu kupunguza temp iliyokuepo
Kwenye suala la "Heat" nitakubishia sababu simu inayochaji kwa dakika 20 huwezi kulinganisha "Heating Time" yake na simu inayotumia masaa 2.
 
Flagships are overrated!!
A 60w charger haina maajabu mengi na ni moja ya mbinu zinazitumika kuifanya flagship ziwe ghali.
Ndio maana midrangers zinakaa sana na chaji kuliko flagship
Most midranges zinakaa na chaji sababu chipsets zao sio power hunger kama za flagship...pili display zao hazirun pixels nyingi sababu ya resoluyion ndogo....fast charging ni muhimu hasa unapokua na shughuli za outdoor na zinahitaji matumizi makubwa ya simu.
 
Flagships are overrated!!
A 60w charger haina maajabu mengi na ni moja ya mbinu zinazitumika kuifanya flagship ziwe ghali.
Ndio maana midrangers zinakaa sana na chaji kuliko flagship

Hii ni sawa na kusema Vitz zina kaa sana na mafuta kuliko vogue

Ubora wa simu unataka umeme mwingi zaidi na sio sahihi kusema zipo overrated
 
Niliwahi bahatisha Oraimo moja hiyo pale makumbusho stand aisee ilikuwa poa sana ile dk 40 simu full kabisa
 
Back
Top Bottom