Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

Simu aina gani ..? Huenda haisaport

Simu nayotumia hapa ina 4000mah charge ni 10w tu during charging huwa inasoma hadi 1.8A inaingia
Inasapoti fast charging, ni Samsung S10.
 
Yakwangu ni OG, but inachaji zaidi ya masaa mawili ndio inajaa fulu fulu
Simu gani?

Kwahiyo hawa wenye 15W kama zetu wanaosema simu zao zinajaa haraka ndani ya dakika kadhaa wanatuongopea?, comments nyingi za huu uzi kama zinakataa hilo jambo
 
Simu kujaa mapema inategemeana na charging system yake imetengenezwaje? Kama charging system ni ya 15W basi itabaki ivo hata kama utumie charger ya 120W.

Mimi natumia simu yenye charging system ya 120W, najaza kwa dakika 15 mpaka 20 kutoka 0-100% kwa kutumia charger yake...

Ila nikitumia charger ya 15W/25W/50W/67W/80W lazima itachaji muda mrefu zaidi..

So ni muhimu kujua simu yako ina charging system ya Watt ngapi kisha tumia charger sahihi.​
 
Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.

Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
kuna charger za hadi 60w , lakini zinategemea uwezo wa software ,na processor, ya simu husika ,
Dawa ni kununua simu yenye uwezo wa kujaa mapema , sio kutafuta charger .
 
Simu kujaa mapema inategemeana na charging system yake imetengenezwaje? Kama charging system ni ya 15W basi itabaki ivo hata kama utumie charger ya 120W.

Mimi natumia simu yenye charging system ya 120W, najaza kwa dakika 15 mpaka 20 kutoka 0-100% kwa kutumia charger yake...

Ila nikitumia charger ya 15W/25W/50W/67W/80W lazima itachaji muda mrefu zaidi..

So ni muhimu kujua simu yako ina charging system ya Watt ngapi kisha tumia charger sahihi.
Natumia simu ya 15W.

Poa mkuu, nimekupata
 
On a serious note , fast chargers zina compromise uhai wa battery, battery nyingi zinapenda kujazwa taratibu
On a serious note teknolojia inakua, simu nyingi zinazotoka nowdays hukuti yenye chini ya 35W..

Flagships zoote hakuna yenye chini ya 67W kwa sasa..
 
IMG_20220811_053109.jpg

Hii haichukui nusu saa simu full 0-100%. Sijawahi kuchajia charger nyingine tokea niinunune simu.

Nafikiri kama wengi walivyosema, wakati mwingine ni aina ya simu na muundo ulivyotengenezwa wa kuchaji. Charger hii hii Kuna simu ukitumia kuchaji inachukua masaaa.
 
Number one battery killer is "HEAT"....

Humo jamaa kaelezea why fast charging system haziui battery kuliko slow charging system....

Sababu ni kwamba the more time you take kuchaji simu, the more inapata heat na kudegrade your battery life.

Ila fast charging system zinaepusha kudegrade battery life sababu zinachaji fasta hivyo hamna battery kuchemka sana..
 
Unataka ujaze simu kwa dk 20 kwa chaja ya 15w ..kwa hizo dk 20 inamaana utakuwa umeingiza only 5w ..manake battery yako ina 1351 mAh [emoji848] mbona hii ni batteryndogo sana walakwa sasa hakuna smart ya battery hio? Pia huwezi jaza any battery ya zaidi ya 2000mah kwa dk 20 ukiwa na 15w charger

Pia sijajua hio 15w simu yako inapokea kwenye volt ngapi? Maana kuna huawei 15w ni kwenye volt 5 means current ya 3A ina flow na waya nyingi hazibebi hio current pia, na kuna 15w kwenye 9v ambayo current ya 1.67A ina flow sijui yako ni ipi
[emoji23][emoji23] ulisoma darasa la mchina
 
On a serious note teknolojia inakua, simu nyingi zinazotoka nowdays hukuti yenye chini ya 35W..

Flagships zoote hakuna yenye chini ya 67W kwa sasa..
Teknolojia imebadilika sawa but the thing is bado tunatumia lithium polymer ..

Hizo flagship zenye charger ya hayo ma watts njoo zicheki battery healthy yake baada ya 1yr au 2yrs au compare na ingne ambayo huwa haichajiwi fast utaona tofauti kubwa
 
View attachment 2320575

Hii haichukui nusu saa simu full 0-100%. Sijawahi kuchajia charger nyingine tokea niinunune simu.

Nafikiri kama wengi walivyosema, wakati mwingine ni aina ya simu na muundo ulivyotengenezwa wa kuchaji. Charger hii hii Kuna simu ukitumia kuchaji inachukua masaaa.
Asante kwa hii chaja ya mfano .. Kuna mtu alisema anatumia fast charger lkn iko slow nikauliza ni volt ngap naona pia hakuelewa mfano hip charger in output mbili Kuna 5v kwa 2A equal to 10w na 10v kwa 6.5A equal to 65w ..Sasa simu yako inaweza kuwa ni 15w ila kwenye 5v hivo charger inatakiwa iwe inatoa 5v na 3A ambao charger hio hapo juu haitoi hivo au 15w kwenye 9v Kama Samsung nyingi huwa zina request hio 9v na 1.67A pia chaja hio hapo juu haina output ya 9v Kuna 10v ..kitakachotokea ni simu itachaji na default 5v tu .. ndo mana nikasema atumie chaja yake original

Eg hio chaja ya Samsung ni watts 15 tu ila inaweza charge samsungA30 fasta kuliko hip oppo ya watts 65 hapo ndo watu wanachanganya
 
Attachments

  • IMG_20220811_065856.jpg
    IMG_20220811_065856.jpg
    249.8 KB · Views: 23
  • IMG_20220811_065835.jpg
    IMG_20220811_065835.jpg
    179.2 KB · Views: 22
Back
Top Bottom