Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.

Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Lazma ujue cm yako ni Watt ngapi co kila ktu kinawezekan kirahis mzee. Unawez ukawa ma chaja ya watt 40 wakat cm yako ni watt 15 hapo utakuw unauwa battery kwahyo chunguza uwezo wa cm yako ndipo ujue unahitaj Chaja ipi na itqjaza kwa mda gan.
 
Simu gani?

Kwahiyo hawa wenye 15W kama zetu wanaosema simu zao zinajaa haraka ndani ya dakika kadhaa wanatuongopea?, comments nyingi za huu uzi kama zinakataa hilo jambo

Samsung made in india, labda za sauz korea ndio zinajaa haraka!!
 
Nikichaji full nakaanayo hata siku mbili, but inategemea na matumizi yako. Kama ni makubwa ni 24hrs
 
Sijui kichwa changu kina mambo mengi?!, hizo physics sijakuelewa mkuu.

Anway, tuachane nazo tusirefushe muda. Natumia Samsung S10.
Kwa mwenye simu ya 15W anunue chaja gani ajaze haraka simu yake?
Bado tunarudi hapo happy ambapo hujaelewa .. 5v 3A ni 15w pia 9v 1.67A nayo ni 15w 😁

Kacheki specs za original chaja ya simu Kisha tafuta Kama hio
Thou nahisi tafuta chaja (pd) power delivery yenye output nyingi volt Tisa isikosekane..maana A30 huwa zina request 9v from the charger
 
Dakika za kuchaji inategemea pia ukubwa wa betri ya simu yako,

Smartphone nyingi betri Zina ukubwa wa 2500mAH,

ila zipo za 3000mAH, 35000 mAh, 4000mah , 5000mAH na 6000mah

Infinix sahv wanatoa hadi za 9000mAH na 10,000mAH

wee Simu yako Ni Aina gani, Ina ukubwa wa betri Kia's gani?
 
Hii ina 65W charging system.... Huwezi kuilinganisha na yenye charging system ya 15W..... Ukitumia chaja yako ya Oppo kuchajia simu ingine haiwezi kuijaza kwa huo muda unaotumia wewe..

Uko sahihi mkuu
Screenshot_2022-08-11-13-39-57-50_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom