mbonji monga
Member
- Mar 23, 2020
- 96
- 192
P::=itvUnataka ujaze simu kwa dk 20 kwa chaja ya 15w ..kwa hizo dk 20 inamaana utakuwa umeingiza only 5w ..manake battery yako ina 1351 mAh [emoji848] mbona hii ni batteryndogo sana walakwa sasa hakuna smart ya battery hio? Pia huwezi jaza any battery ya zaidi ya 2000mah kwa dk 20 ukiwa na 15w charger
Pia sijajua hio 15w simu yako inapokea kwenye volt ngapi? Maana kuna huawei 15w ni kwenye volt 5 means current ya 3A ina flow na waya nyingi hazibebi hio current pia, na kuna 15w kwenye 9v ambayo current ya 1.67A ina flow sijui yako ni ipi