Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
- Thread starter
- #21
Inasapoti fast charging, ni Samsung S10.Simu aina gani ..? Huenda haisaport
Simu nayotumia hapa ina 4000mah charge ni 10w tu during charging huwa inasoma hadi 1.8A inaingia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasapoti fast charging, ni Samsung S10.Simu aina gani ..? Huenda haisaport
Simu nayotumia hapa ina 4000mah charge ni 10w tu during charging huwa inasoma hadi 1.8A inaingia
Simu gani?Yakwangu ni OG, but inachaji zaidi ya masaa mawili ndio inajaa fulu fulu
kuna charger za hadi 60w , lakini zinategemea uwezo wa software ,na processor, ya simu husika ,Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.
Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Natumia simu ya 15W.Simu kujaa mapema inategemeana na charging system yake imetengenezwaje? Kama charging system ni ya 15W basi itabaki ivo hata kama utumie charger ya 120W.
Mimi natumia simu yenye charging system ya 120W, najaza kwa dakika 15 mpaka 20 kutoka 0-100% kwa kutumia charger yake...
Ila nikitumia charger ya 15W/25W/50W/67W/80W lazima itachaji muda mrefu zaidi..
So ni muhimu kujua simu yako ina charging system ya Watt ngapi kisha tumia charger sahihi.
On a serious note teknolojia inakua, simu nyingi zinazotoka nowdays hukuti yenye chini ya 35W..On a serious note , fast chargers zina compromise uhai wa battery, battery nyingi zinapenda kujazwa taratibu
On a serious note teknolojia inakua, simu nyingi zinazotoka nowdays hukuti yenye chini ya 35W..
Flagships zoote hakuna yenye chini ya 67W kwa sasa..
Hii ni aina gani ya Oppo?View attachment 2320575
Hii haichukui nusu saa simu full 0-100%. Sijawahi kuchajia charger nyingine tokea niinunune simu.
Nafikiri kama wengi walivyosema, wakati mwingine ni aina ya simu na muundo ulivyotengenezwa wa kuchaji. Charger hii hii Kuna simu ukitumia kuchaji inachukua masaaa.
Fast charging kwenye volt ngapiInasapoti fast charging, ni Samsung S10.
[emoji23][emoji23] ulisoma darasa la mchinaUnataka ujaze simu kwa dk 20 kwa chaja ya 15w ..kwa hizo dk 20 inamaana utakuwa umeingiza only 5w ..manake battery yako ina 1351 mAh [emoji848] mbona hii ni batteryndogo sana walakwa sasa hakuna smart ya battery hio? Pia huwezi jaza any battery ya zaidi ya 2000mah kwa dk 20 ukiwa na 15w charger
Pia sijajua hio 15w simu yako inapokea kwenye volt ngapi? Maana kuna huawei 15w ni kwenye volt 5 means current ya 3A ina flow na waya nyingi hazibebi hio current pia, na kuna 15w kwenye 9v ambayo current ya 1.67A ina flow sijui yako ni ipi
Teknolojia imebadilika sawa but the thing is bado tunatumia lithium polymer ..On a serious note teknolojia inakua, simu nyingi zinazotoka nowdays hukuti yenye chini ya 35W..
Flagships zoote hakuna yenye chini ya 67W kwa sasa..
Asante kwa hii chaja ya mfano .. Kuna mtu alisema anatumia fast charger lkn iko slow nikauliza ni volt ngap naona pia hakuelewa mfano hip charger in output mbili Kuna 5v kwa 2A equal to 10w na 10v kwa 6.5A equal to 65w ..Sasa simu yako inaweza kuwa ni 15w ila kwenye 5v hivo charger inatakiwa iwe inatoa 5v na 3A ambao charger hio hapo juu haitoi hivo au 15w kwenye 9v Kama Samsung nyingi huwa zina request hio 9v na 1.67A pia chaja hio hapo juu haina output ya 9v Kuna 10v ..kitakachotokea ni simu itachaji na default 5v tu .. ndo mana nikasema atumie chaja yake originalView attachment 2320575
Hii haichukui nusu saa simu full 0-100%. Sijawahi kuchajia charger nyingine tokea niinunune simu.
Nafikiri kama wengi walivyosema, wakati mwingine ni aina ya simu na muundo ulivyotengenezwa wa kuchaji. Charger hii hii Kuna simu ukitumia kuchaji inachukua masaaa.
Hii ni aina gani ya Oppo?
View attachment 2320575
Hii haichukui nusu saa simu full 0-100%. Sijawahi kuchajia charger nyingine tokea niinunune simu.
Nafikiri kama wengi walivyosema, wakati mwingine ni aina ya simu na muundo ulivyotengenezwa wa kuchaji. Charger hii hii Kuna simu ukitumia kuchaji inachukua masaaa.
ShOppo Reno 6 5G
Nilinunua 1.2MSh
ngap hio
Hii ina 65W charging system.... Huwezi kuilinganisha na yenye charging system ya 15W..... Ukitumia chaja yako ya Oppo kuchajia simu ingine haiwezi kuijaza kwa huo muda unaotumia wewe..Oppo Reno 6 5G