Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,205
- 5,121
Ni kweli, hapo nilipaswa kutumia neno "Nyingi" na sio "Zote"Sio kweli...iphone 13 pro max inachaji up to 27W...Samsung S22 ultra inachaji up to 45W.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, hapo nilipaswa kutumia neno "Nyingi" na sio "Zote"Sio kweli...iphone 13 pro max inachaji up to 27W...Samsung S22 ultra inachaji up to 45W.
S 10 si ukanunue chaja yake Samsung.Sijui kichwa changu kina mambo mengi?! Hizo physics sijakuelewa mkuu.
Anway, tuachane nazo tusirefushe muda. Natumia Samsung S10.
Kwa mwenye simu ya 15W anunue chaja gani ajaze haraka simu yake?
Fast charging inatengeneza joto jingi na ndo maana nyingi zikifika 80% zinaanza kuslow down ili zicool simu kupunguza temp iliyokuepo
Most midranges zinakaa na chaji sababu chipsets zao sio power hunger kama za flagship...pili display zao hazirun pixels nyingi sababu ya resoluyion ndogo....fast charging ni muhimu hasa unapokua na shughuli za outdoor na zinahitaji matumizi makubwa ya simu.Flagships are overrated!!
A 60w charger haina maajabu mengi na ni moja ya mbinu zinazitumika kuifanya flagship ziwe ghali.
Ndio maana midrangers zinakaa sana na chaji kuliko flagship
Flagships are overrated!!
A 60w charger haina maajabu mengi na ni moja ya mbinu zinazitumika kuifanya flagship ziwe ghali.
Ndio maana midrangers zinakaa sana na chaji kuliko flagship