Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
Tafuta charger za Oraimo (original), Moxom au zile za Redmi ziko bomba sana, nishawahi kuzitumiaNatumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.
Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Ulikuwa unachaji full kwa dakika ngapi?Tafuta charger za Oraimo (original), Moxom au zile za Redmi ziko bomba sana, nishawahi kuzitumia
Nimenunua kwa mtu, kaniuzia simu bila chajikwani hio simu haikuja na charge yake? teh teh
Inategemea na simu yako kama ina uwezo wa kuchaji kwa dakika 20 ila hiyo 15W haiwezi. Hapo lazima upate angalau 80W.Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.
Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Ndani ya dakika 45 kitu kinasoma 90+ %Ulikuwa unachaji full kwa dakika ngapi?
15W uwezo wake ni dakika ngapi?Inategemea na simu yako kama ina uwezo wa kuchaji kwa dakika 20,ila hiyo 15W haiwezi. Hapo lazima upate angalau 80W.
Duh!ndani ya dakika 45 kitu kinasoma 90+ %
15W ni zaidi ya saa15W uwezo wake ni dakika ngapi?
Kwenye uzi fulani humu JF nimeona mtu mmoja anasema Samsung A12 yake anaichaji ndani ya 20 tu. A12 ni 15W
Zaidi ya saa ni mizinguo. Inachosha kusubiria ijae15W ni zaidi ya saa
Mimi natumia 33W nachaji kwa dakika 60 battery ni 5000mahZaidi ya saa ni mizinguo. Inachosha kusubiria ijae
Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.
Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Unataka ujaze simu kwa dk 20 kwa chaja ya 15w ..kwa hizo dk 20 inamaana utakuwa umeingiza only 5w ..manake battery yako ina 1351 mAh 🤔 mbona hii ni batteryndogo sana walakwa sasa hakuna smart ya battery hio? Pia huwezi jaza any battery ya zaidi ya 2000mah kwa dk 20 ukiwa na 15w chargerNatumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.
Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Battery mah ngapi?ndani ya dakika 45 kitu kinasoma 90+ %
Simu aina gani ..? Huenda haisaportDuh!
Ulikuwa unafaidi kweli mkuu.
Nina chaji ya Kichina ya 15W, japo ni 15W lakini inajaza kwa masaa mawili
Sijui kichwa changu kina mambo mengi?! Hizo physics sijakuelewa mkuu.Unataka ujaze simu kwa dk 20 kwa chaja ya 15w ..kwa hizo dk 20 inamaana utakuwa umeingiza only 5w ..manake battery yako ina 1351 mAh 🤔 mbona hii ni batteryndogo sana walakwa sasa hakuna smart ya battery hio? Pia huwezi jaza any battery ya zaidi ya 2000mah kwa dk 20 ukiwa na 15w charger
Pia sijajua hio 15w simu yako inapokea kwenye volt ngapi? Maana kuna huawei 15w ni kwenye volt 5 means current ya 3A ina flow na waya nyingi hazibebi hio current pia, na kuna 15w kwenye 9v ambayo current ya 1.67A ina flow sijui yako ni ipi