Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Mabadiliko wanaitaji watanzania labda wabebe mimba 🤔🤔🤔,Aiseee....Mimi nachukizwa na neno kwa sasa tupo katika mchakato,au hili neno Vijana inabidi mkajiajiri msisubiri ajira serikalini!!
Haya ni maneno yanayoumiza moyo wangu kwani ni maneno yasiyokuwa na akiba ya huruma kwa vijana pia kwa wapiga kura!Ongezea na wewe!
Ikikukera zaidi andika wosia kisha kajitupe mto Wami.Kujiita mama Samia wakati wewe ni me inanikera sana, ingawa kwenye comments uko vizuri mkuu!
Unatia Aibu Mkuu! Siwezi kujitupa,ungekuwa toto langu ningekutupa wewe sio moto wami,Ziwa Nyasa kabisa!Ikikukera zaidi andika wosia kisha kajitupe mto Wami.
Yuko wapi sasaWaTanzania wengi ni malofa "mkapa voice"