Nitajiie baahi ya Maneno ya wanasiasa yanayokukera!

Nitajiie baahi ya Maneno ya wanasiasa yanayokukera!

Aiseee....Mimi nachukizwa na neno kwa sasa tupo katika mchakato,au hili neno Vijana inabidi mkajiajiri msisubiri ajira serikalini!!
Haya ni maneno yanayoumiza moyo wangu kwani ni maneno yasiyokuwa na akiba ya huruma kwa vijana pia kwa wapiga kura!Ongezea na wewe!
Dah! Mabadiliko wanaitaji watanzania labda wabebe mimba 🤔🤔🤔,
 
Utambulisho wa viongozi, hakuna kitu nachukia kama kutambulishana. Nusu saa mtu kasimama ni "mheshimiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, mheshimiwa daktari......, mheshimiwa makamu wa raisi wa jamhuri........." hadi amalize utambulisho watu mmeshachoka.
 
ndugu wanainchi! hali ni mbaya sana kiuchumi, lakini tupambane na kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa hili changa.?wakati huo huyo mheshimiwa ana TOOTHPICK mdomoni, tena anahema kwa shida huku kitambi kimejaa kuku wa KFC! kimeshikiliwa na mkanda nje. na pembeni kuna VX.R-V8 iko silence full AC inamsubiri amalize mkutano, akanywe MVINYO kwenye hotel ya NYOTA 5 huko MBUGANI au kati kati ya JIJI ama pembezoni mwa BAHARI akila upepo na KIMADA wake.
 
  • Mh Dakitari Mama wetu Rais.....
  • Tukafanye kazi vijana ajira siyo mpaka serikalini
  • Msidhani tukiwa bungeni tunakula kuku kule nikuwatumikia wananchi!
 
'Tutalifanyia kazi..."
Hapo usitegemee lolote ,fanya mipango mingine tu.
 
Back
Top Bottom