Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Japo hii ni chai.
Ndio hapo ujue MUNGU ana maajabu yake. Yule binti aliumiza sana kichwa kuipata hiyo hela. Akakutumia wewe rafiki wa babaake unarudisha fadhira kwa njia zingine.
Kuhusu mpususu achana nae. Jinsi ya kumkwepa mwambie ukweli kuhusu kiongozi wako kuwa umegundua ndio babaake. Hivyo umefurahi sana. Mueleze mnavyoheshimiana. Hivyo mwambie kuanzia leo,wewe ni kakaake. Asisite kukuomba ushauri wowote