Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

Mkuu GENTAMYCINE wala usiwe na wasiwasi
MTU yoyote Akisha tolewa kwenye systems Huna ni mpumbavu Tu.
Imagine wewe ni meneja wa Tawi la benki Fulani , alafu ukapigwa chini ,
Unafikiri huyo mstaasfu meneja anaweza fanya kitu chochote kuhusu hiyo benki
 
Vijana wanalishana matangopori sana kuhusu idara ile.

Ukishaondolewa kwenye utumishi wao basi huna chako tena.

Taarifa muhimu zote wanazipata ofisini so mtu ambaye kaondolewa ofisini hawezi kuwa na makali yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…