Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Yericko NyerereKuna mtu alisha wahi kusema hii taasisi ifumuliwe iundwe mpya..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yericko NyerereKuna mtu alisha wahi kusema hii taasisi ifumuliwe iundwe mpya..
Kaamua mwaga ugali namwaga mbogaMama anawaangaliaa tu View attachment 3059281
Hii habari umeitunga wewe. Haina ukweli wowote na inafaa kupuuzwa.Na hili ndilo nilikuwa nalitegemea na naweza pia Kulikubali ila siyo Kufuta Kazi Watendaji wote kwani ni HATARI sana tu.
Umemaliza?Hii habari umeitunga wewe. Haina ukweli wowote na inafaa kupuuzwa.
Wamesepeshwa wengi ila sidhani kama ni wote, kuna ambao wamebaki....Na hili ndilo nilikuwa nalitegemea na naweza pia Kulikubali ila siyo Kufuta Kazi Watendaji wote kwani ni HATARI sana tu.
Hawa ndo wale magodifaza wao wamechezea kibuti,,,,,we angalia tu nyuzi zinazoteremka siku hizi jukwaani utawajua japo wanajificha kinafiki kwa bimkubwa ila hali ni mbayaUmemaliza?
Wengi vitendea kazi hawana...........Aisee! Hata hivyo wakiwa mtaani tukiwaona tuwe macho nao! Hiyo taasis hata wakifukuzwa bado wanaendelea kupiga kazi.
Mtu atapiga Kazi wakati akijua kuwa ameshafukuzwa Kazi, hana chake tena, hayuko katika Mfumo na halipwi chochote?Aisee! Hata hivyo wakiwa mtaani tukiwaona tuwe macho nao! Hiyo taasis hata wakifukuzwa bado wanaendelea kupiga kazi.
Kuna dalili fulani naziona mahala na taratibu sana nami naanza Kuamini jambo. Kuna Mtu wa huko simweli simweli pia.Hawa ndo wale magodifaza wao wamechezea kibuti,,,,,we angalia tu nyuzi zinazoteremka siku hizi jukwaani utawajua japo wanajificha kinafiki kwa bimkubwa ila hali ni mbaya
Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote.
Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo cha kufuta Kazi Watendaji wote wa Taasisi hiyo ni Kulivalisha BOMU la HATARI kabisa Taifa letu?
Ningeambiwa kuwa Taasisi imeamua Kufuta Kazi baadhi ya Watendaji wake kutokana na Uzembe au Ufanisi Haba wa Kiutendaji ningekubali na pia hata kuunga mkono kwani hata Mimi mara kadhaa hapa hapa JamiiForums nimeshasema kuwa Taasisi inahitaji madadiliko makubwa.
Tena kwa Mataifa makubwa yanayojua nini maana ya hiyo Taasisi kama ya Urusi, Israeli, Uingereza na Ufaransa yao yakifikia tu huu Uamuzi huwa hawaishii tu Kuwaondoa Kazini ( Taasisini ) bali huhakikisha pia wanapiga Sindano za Sumu ili kila baada ya muda Mmoja Mmoja anakufa.
Na kama hii Taarifa ni Kweli basi ninajua hivi sasa Ndugu yangu 'Sinenepi ila nina Akili Nyingi' hapo jirani kafurahi. Na pia kama hii Taarifa ni ya kweli basi nina uhakika kuwa kuna Mtanzania Mmoja si tu Katuchoka bali pia Katuchukia sana na sasa anataka kutuingiza Matatizoni ili akaishi zake Uarabuni.
Yaani wafukuzwe kazi kipindi hiki cha uchaguzi? Hii habari haiwezei kuwa kweli.Mtu atapiga Kazi wakati akijua kuwa ameshafukuzwa Kazi, hana chake tena, hayuko katika Mfumo na halipwi chochote?
Asante kama Umemaliza.Yaani wafukuzwe kazi kipindi hiki cha uchaguzi? Hii habari haiwezei kuwa kweli.
Huyo kuukata mkono unaokulisha.
Nimemaliza.
Haha sema ndo kibongobongo watafia na tai shingoni,,,si wanajua raia hawajui, huku nje wanaweza wakaendelea tu kuzuga kama ni kitengo ila muda unavyozidi kwenda utawatambua tuKuna dalili fulani naziona mahala na taratibu sana nami naanza Kuamini jambo. Kuna Mtu wa huko simweli simweli pia.
Nakubaliana na Wewe Mkuu kwani kuna Mmoja wao yuko huko kwa sasa nashindwa kumuelewa japo anajikaza sana.Haha sema ndo kibongobongo watafia na tai shingoni,,,si wanajua raia hawajui, huku nje wanaweza wakaendelea tu kuzuga kama ni kitengo ila muda unavyozidi kwenda utawatambua tu
Vijana wanalishana matangopori sana kuhusu idara ile.Mkuu GENTAMYCINE wala usiwe na wasiwasi
MTU yoyote Akisha tolewa kwenye systems Huna ni mpumbavu Tu.
Imagine wewe ni meneja wa Tawi la benki Fulani , alafu ukapigwa chini ,
Unafikiri huyo mstaasfu meneja anaweza fanya kitu chochote kuhusu hiyo benki
Na hasa huo Uzi ukiwa umeanzishwa na GENTAMYCINE ambaye anasomwa na kila Mtu na kila Siku tu hapa JamiiForums.Kazi yangu ni kucomdnt ili nipate notification za kuendelea kusoma uzi huu